HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Wivu pambana na urembo wakoHuyu dada mzuri sana kwenye picha, uso kwa uso wakawaida tu, mleta uzi mwambie apunguze kujiedit sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu pambana na urembo wakoHuyu dada mzuri sana kwenye picha, uso kwa uso wakawaida tu, mleta uzi mwambie apunguze kujiedit sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jirani yangu madale[emoji41]...
hivi anavotudhalilishaga hamuonagi? wagumba/washenzi/hamna akili nk ? haitoshi kutopenda matendo yake?
sichukii mtu nachukia matendo ya mtu.
karibuni dinner wapendwa
Ndio mana ukaanza kumchukia?kwa uzuri na usafi namsifu,ila ni oportunist wa hatari,maana kujiweka pale hosptali chap chap kabla ivan hajafa sijaelewa,alikua fasta sana kudai mimali ya jamaa na fasta kajiweka kwenye ofisi na nyumba ,yaani si kwa spidi ile.nachoshangaa mbona wakati jamaa yuko hai demu alikua kama vile hana time nae.
then mazaake nae kadondoka demu ndo kwaanza km vile kafa panya tu wala hana time kivile,dah sijamwelewa aisee
mi nimchukie wanini yule,tuko tofauti hayo niliyoandika ni my own view on her
Diamond ni wa Wema na Wema ni wa Diamond. Zari kapata watoto, amepewa share yake ajiandae kukaa South Africa as Diamond si wake! It is very unfortunately!Kuna baadhi ya wadada wanamuonea wivu coz zari ni mzuri, ana pesa, ana akili, ana mme star, ana watoto wengi,etc. Kuna wadada walijaribu kuimgia ligi na huyu mdada lakini walishindwa, Mfano wema alichukia sana Diamond alivyohamisha so akaona alichzidi Zari ni followers wa instagram tu, Cha kushangaza wema haringii tena followers coz kashakalishwa na huyu zari
Tena in person mzuri zaidi ya kwenye pichaInsta wote wanajiedit wanazidiana kwa viwango vya camera tu. Zari mzuri bana,watoto watano bado mbichiii
Wala tusipoteze sana mda mkuu mambo haya hapayanayowafanya wamchukie zariZari mzuri bana,ila wadada na wanawake wengi wanamchukia,wivu au stress ya maisha wanayoyapitia?
View attachment 513979
Kama ni suala la kuhongwa vinono na mond jibu hili hapaView attachment 513981
Wala tusipoteze sana mda mkuu mambo haya hapayanayowafanya wamchukie zari
1.wengi wao roho zinawauma sana kwa sabab zar kabla ya kuanzisha uhusiano na mondi hatukuwa tukimfaham ila baada ya kumfaham na kujua kile akifanyacho huyo bi dada sasa kila mtu anapokea kwa stail ya aina yake wenye roho mbaya zilizotukuka ndio wamejiweka hadharan ya kuwa wao ni haters kama mange kimavi sorry mange kimambi
Wengi wao wametumika kwa mondi na hakuna walichofanikiwa hata robo ya mwana mama zari basi wakiona hivyo uwiiii wanataman wabadilishwe kwenye dunia ingine
Msimamo wa zari kuelekea kuanxisha urafik na waswahil wasiojielewa nao pia umechangia wengi wao kumchukia
Mtoto wa hamisa asifananishwe na wake kisa nn wakati kikojoleo kimoja?
Yeye mke au hawala tu?? Au kisa alivyoona mond anataka wa kiume kakimbia kwa ivan apate wa kiume akijua ni siri?
Yeye na hamisa mmoja wote sawa tofauti ni njane tu.