Kwanini wadada wengi wanamchukia Zari?

Kwanini wadada wengi wanamchukia Zari?

Jirani yangu madale[emoji41]...

hivi anavotudhalilishaga hamuonagi? wagumba/washenzi/hamna akili nk ? haitoshi kutopenda matendo yake?
sichukii mtu nachukia matendo ya mtu.

karibuni dinner wapendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zari kakuzalilisha kwa lipi ndugu yetu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa uzuri na usafi namsifu,ila ni oportunist wa hatari,maana kujiweka pale hosptali chap chap kabla ivan hajafa sijaelewa,alikua fasta sana kudai mimali ya jamaa na fasta kajiweka kwenye ofisi na nyumba ,yaani si kwa spidi ile.nachoshangaa mbona wakati jamaa yuko hai demu alikua kama vile hana time nae.
then mazaake nae kadondoka demu ndo kwaanza km vile kafa panya tu wala hana time kivile,dah sijamwelewa aisee
 
Ndio mana ukaanza kumchukia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20905006_344230089367410_817651968024510464_n.jpg
 
Kuna baadhi ya wadada wanamuonea wivu coz zari ni mzuri, ana pesa, ana akili, ana mme star, ana watoto wengi,etc. Kuna wadada walijaribu kuimgia ligi na huyu mdada lakini walishindwa, Mfano wema alichukia sana Diamond alivyohamisha so akaona alichzidi Zari ni followers wa instagram tu, Cha kushangaza wema haringii tena followers coz kashakalishwa na huyu zari
Diamond ni wa Wema na Wema ni wa Diamond. Zari kapata watoto, amepewa share yake ajiandae kukaa South Africa as Diamond si wake! It is very unfortunately!
 
Hee sio wa hamisa tena aiseeee
Diamond ni wa Wema na Wema ni wa Diamond. Zari kapata watoto, amepewa share yake ajiandae kukaa South Africa as Diamond si wake! It is very unfortunately!
 
Zari mzuri bana,ila wadada na wanawake wengi wanamchukia,wivu au stress ya maisha wanayoyapitia?
View attachment 513979
Kama ni suala la kuhongwa vinono na mond jibu hili hapaView attachment 513981
Wala tusipoteze sana mda mkuu mambo haya hapayanayowafanya wamchukie zari
1.wengi wao roho zinawauma sana kwa sabab zar kabla ya kuanzisha uhusiano na mondi hatukuwa tukimfaham ila baada ya kumfaham na kujua kile akifanyacho huyo bi dada sasa kila mtu anapokea kwa stail ya aina yake wenye roho mbaya zilizotukuka ndio wamejiweka hadharan ya kuwa wao ni haters kama mange kimavi sorry mange kimambi
Wengi wao wametumika kwa mondi na hakuna walichofanikiwa hata robo ya mwana mama zari basi wakiona hivyo uwiiii wanataman wabadilishwe kwenye dunia ingine
Msimamo wa zari kuelekea kuanxisha urafik na waswahil wasiojielewa nao pia umechangia wengi wao kumchukia
 
True fact

Huenda kwasababu amewashinda uwezo wa kuwafit hata baada ya kufyatua watoto 5.
 
Zari ni mzuri haswaa,wivu ndio tatizo la wadada wengi,unaanzaje kumchukia mtu hata hana time na wewe.
 
Mtoto wa hamisa asifananishwe na wake kisa nn wakati kikojoleo kimoja?

Yeye mke au hawala tu?? Au kisa alivyoona mond anataka wa kiume kakimbia kwa ivan apate wa kiume akijua ni siri?

Yeye na hamisa mmoja wote sawa tofauti ni njane tu.
 
Sawa hamissa tumekuelewa,side dish

Back
Top Bottom