Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Nimeshakutana na Ke wenye misimamo kama yako lakini mwisho waliufyata. Wa mwisho alikuwa mtata hasa lakini alifikia mpaka kuuweka udini rehani ili tu apate kuwa nami, Mimi ndiye nkaona hatari.
Mdogo wangu jua tu hujapata wa kukuongoza. Mwanamke yeyote ni mwepesi kwa mwanaume anayejitambua.
 
Huna lolote, ni ubaya gani sasa, huna jeuri hiyo, huna ubaya wowote wa kunionyesha.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Two faced.

Multiple personalities.

Im not tattooed, pierced....

I do smoke ila ukiniona huwezi dhania , Lend me your ears once you'll never regret...

Utakuja for more dakika mbili pichu ushavua...

Tunhevaag x rabaan -Badboy dedication kwa mabadbois.


Fucboi
 
Oohh ninyi si mmezoea mnapata wale wanawake wanaowapapatikia na kuwanyenyekea na ndiyo mnafikiri kila mwanamke yuko hivyo! Sisi wengine vichwa ngumu bwashee!
Kichwa ngumu.

Hapa itakuwa laini.
 
Mimi nilivyo, huwa nasimamia katika "what is best for both of us, na us namaanisha Mimi, mke na watoto". So kama msimamo wako una mashiko na uadilifu kwetu ntakubaliana na wewe Karma Ila kama Hamna hamna sitaukubali.
Halafu Mimi ni Mara chache kutumia nguvu Ila Mara nyingi natumia soft power niliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu. Lazima nitetee na nisimamie kile nnachoona ni kizuri kwa Sasa na baadaye.
Amin Amina nakwambia mwamba mgumu huwa unamalizwa na maji yanayotiririka kila siku. Hiyo misimamo yako inayeyushwa na namna ntakavyo ku treat kila siku.
 
Halafu mkuu, Kuna Ile mtu anataka kukushape uwe Bora Ila wewe unachukulia kama manyanyaso.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti unaweza kua bad boy halafu usipate pisi
 
Oohh ninyi si mmezoea mnapata wale wanawake wanaowapapatikia na kuwanyenyekea na ndiyo mnafikiri kila mwanamke yuko hivyo! Sisi wengine vichwa ngumu bwashee!
Uongo wewe Sio mgumu Wala Nini unajisifia hapa tukuogope Acha hizo mrembo,
Hunitishi nyau wewe ukiwa na Mimi nakulainisha unakua mchumba kama wachumba wengine kama unabisha leta mkono tushindane!
 
Ana kingine
Everything is Fucked
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…