Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Mtoa mada jibu lako liko ndani ya uzi wako, huyo msela ni handsome ndoa maana mademu wanajipeleka kwake, sio u-bad boy wake Unavutia wadada, bali muonekano wake, mdada akiona huyo mwanaume alivyo handsome, anaona hataweza pata mkaka mwingine mzuri kama huyo, hivyo wanavumilia vipigo donlucchese
 
Roger that mkuu, yaan mwanamke alivyo complicated kama ingekua ni part of the human body basi angekua [emoji3447]
 
Nice guys are boring according to them. Wako slow kwenye kuanzisha stori, hawawezi kuwachangamsha na hata kwenye uchakataji wanakuwa wastaarabu sana kitu ambacho wengi hawataki ...... Anyway I'm a nice guy!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mr. Nice guy muvi flan ya Jackie Chan kitambo
 
Wanawake wengi tunapenda Wanaume wanaojiamini Mwanaume mwenye sauti Mwanaume anayethubutu kukuambia sitaki ufanye kitu flan na hufanyi, mwanaume mbabe flan hivi!!

Sio mwanaume wa kila kitu ndiyo yaani unampeleka peleka tu, hapana anaboa.
 
Kumbe sasa hv inaitwa PAPUCHI NYEZI?! [emoji119][emoji23][emoji119]
 
Wanawake wengi tunapenda Wanaume wanaojiamini Mwanaume mwenye sauti Mwanaume anayethubutu kukuambia sitaki ufanye kitu flan na hufanyi, mwanaume mbabe flan hivi!!

Sio mwanaume wa kila kitu ndiyo yaani unampeleka peleka tu, hapana anaboa.
Katika ubora wako.babe Karucee na wewe unasimamia hapa pia au nikuache utafakari Kwanza

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wengi tunapenda Wanaume wanaojiamini Mwanaume mwenye sauti Mwanaume anayethubutu kukuambia sitaki ufanye kitu flan na hufanyi, mwanaume mbabe flan hivi!!

Sio mwanaume wa kila kitu ndiyo yaani unampeleka peleka tu, hapana anaboa.
Kweli mkuu. Sasa hamkawii kuletewa ubandidu halafu mnaenda kupost in public kama Shaa. Ngoja nijifunze kulamba makofi wanawake [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…