Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Salam wakuu,
Straight to the point... Kuna jamaa yangu anaitwa bwana X, huyu mwamba anatabia zote za kihuni unazozifahamu. Dazi,tungi, ma tattoo hereni sijui takataka zote na tabia kwa ujumla ni mshenzi pro max. Ana muonekano au haiba ya kuvutia kiukweli msela ila tatizo kubwa mwana uhuni
Kinacho wa drive hao pisi crazy ni “The Art of not giving a fucq” dem anaweza kuwa pisi af muhuni akamuona kibungo tu wala hampapatikii...Hapa mademu huchanganyikiwa mno!

Most Alphas huwa wana gain respect zaidi na hula pisi kali zaidi regardless ya uhuni walioko nao sababu they don’t fucq with bitches feelings esp. attention seeking bullcrap. Bad boys wana attract madem wazuri sababu pretty girls love real Gs. Wanaume ambao hawaoni noma ku express their minds ata dkk 1. dry dock yani no vaseline ka hivi... “Ka vipi sogea Ngwea nkutoe nyege hizo dzain ziko shazi”😆

Kuna huu ugonjwa ambao nice guys wengi wanao yani,,,”Bitch dependency syndrome” hii ni ile hali ya kutaka ku respond in each & every feeling ya demu. Kujifanya ku care kwa wingi na kutaka kuonesha that you are very important to her, giving too much of yourself just to satisfy her feelings matokeo yake unakuwa so fragile! You loose yourself in the process and end up being dumped.
 
Hata mimi ni mwanamke lakini huwa nawashangaa sana wanawake wenzangu kwenye hili. Wanawake kwenye mapenzi ni kama hatuna misimamo ama sijui niseme hatujielewi.

Yaani eti unakuta mwanamke anakuambia hapendi kuwa controlled. Haya akipata mwanaume asiyemcontrol anasema anaboa anataka mwanaume mbabe anayejua kucontrol.

Bora wengine tunajijua kabisa tukisema hatupendi kuwa controlled ni hatupendi kweli. Mimi mwanaume akiwa mpole ndiyo namheshimu ila akileta ubabe wallahi atajua hanijui.
Wanawake wengi mean the opposite😅 yani akisema anapenda mwanaume anaye care basi jua tu anapenda Nduli Iddi Amin.

Akisema anapenda kauzu jua huyo ni wa mpole kabisa. Kauzu anamkimbia!

Kwa mtu kama wewe mwenye haiba ya utata unafaa upate mwanaume mpole atakaekubali kupelekeshwa maana akiwa mtata kama mimi hapa nyumba haitakalika.
 
Kiukweli ni kama vile wanaume mnapenda mdada ajiachie on bed yaani awe muhuni asiwe na aibu, ndiyo na sisi tunapenda babe asiwe mlokole sana ustaarabu mwingi, hadi tendo la ndoa style zingine kama popo kanyea mbingu aone dhambi aargh tunahitaji rough games, hujakaa sawa jikoni imoo, hujakaa sawa babe kagusa titi kidogo unanuna kidogo ila unaenjoy hujakaa sawa unapita sebuleni mara kakupiga kikofi cha tako[emoji23] yaani muhuni huni hivi hana aibu, yaani Unakua unamfikiria yeye tu na huo ukorofi wake.

Siyo babe kapoaa kama kakimbia upadre bana. Ustaarabu mwingi hata kwenye visivohitaji ustaarabu mbususu na mishedede haihitaji ustaarabu, peleka moto heavy hadi mkitoka hapo mnahisi harufu ya mishikaki kumbe ni viungo vyenu vya siri vilikua kazini[emoji2088]

Note: uhuni hadi wa mavazi na hereni kwa mkaka hapana, awe bad boy on bed tu.

Kula ka like mbebe [emoji23]
 
Mtoa mada jibu lako liko ndani ya uzi wako, huyo msela ni handsome ndoa maana mademu wanajipeleka kwake, sio u-bad boy wake Unavutia wadada, bali muonekano wake, mdada akiona huyo mwanaume alivyo handsome, anaona hataweza pata mkaka mwingine mzuri kama huyo, hivyo wanavumilia vipigo donlucchese
Marefa wa dunia wana ulimwengu kwa sasa ni posts za demu Au man Mkali ndio sifa peers wanajaji uzuri sifa sifa ndio kila kitu. Na wenye dawa pia wapo
 
Siyo jiko kabisa linapowaka, i meant kitchen area mkuu, sasa unashangaa kitchen wakati hata kwenye dining tables kitu kinahappen mguu unaegeshwa hapo. Ndiyo huo ulokole wako sasa utaachwa wewe[emoji23]
Ni kweli. Mi japokua na usabato wangu nilishawahi juu ya mti

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi ni mwanamke lakini huwa nawashangaa sana wanawake wenzangu kwenye hili. Wanawake kwenye mapenzi ni kama hatuna misimamo ama sijui niseme hatujielewi.

Yaani eti unakuta mwanamke anakuambia hapendi kuwa controlled. Haya akipata mwanaume asiyemcontrol anasema anaboa anataka mwanaume mbabe anayejua kucontrol.

Bora wengine tunajijua kabisa tukisema hatupendi kuwa controlled ni hatupendi kweli. Mimi mwanaume akiwa mpole ndiyo namheshimu ila akileta ubabe wallahi atajua hanijui.
Haipingwi mkuu

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Kinacho wa drive hao pisi crazy ni “The Art of not giving a fucq” dem anaweza kuwa pisi af muhuni akamuona kibungo tu wala hampapatikii...Hapa mademu huchanganyikiwa mno!

Most Alphas huwa wana gain respect zaidi na hula pisi kali zaidi regardless ya uhuni walioko nao sababu they don’t fucq with bitches feelings esp. attention seeking bullcrap. Bad boys wana attract madem wazuri sababu pretty girls love real Gs. Wanaume ambao hawaoni noma ku express their minds ata dkk 1. dry dock yani no vaseline ka hivi... “Ka vipi sogea Ngwea nkutoe nyege hizo dzain ziko shazi”[emoji38]

Kuna huu ugonjwa ambao nice guys wengi wanao yani,,,”Bitch dependency syndrome” hii ni ile hali ya kutaka ku respond in each & every feeling ya demu. Kujifanya ku care kwa wingi na kutaka kuonesha that you are very important to her, giving too much of yourself just to satisfy her feelings matokeo yake unakuwa so fragile! You loose yourself in the process and end up being dumped.
Umeua [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom