Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Kweli mkuu. Sasa hamkawii kuletewa ubandidu halafu mnaenda kupost in public kama Shaa. Ngoja nijifunze kulamba makofi wanawake [emoji2][emoji2][emoji2]

Sijakuambia mwanaume anayepiga, hakuna anaetaka kipigo.

Kwa hiyo wewe kujiamini mpaka umlambe mtu makofi? basi haujiamini mkuu
 
Wanawake wengi tunapenda Wanaume wanaojiamini Mwanaume mwenye sauti Mwanaume anayethubutu kukuambia sitaki ufanye kitu flan na hufanyi, mwanaume mbabe flan hivi!!

Sio mwanaume wa kila kitu ndiyo yaani unampeleka peleka tu, hapana anaboa.

Daah! Kweli mwalimu wenu kipofu na hamjui mnataka nini?? Kuna uzi hapa juzi tu nimechangia wanawake wanalalamikia ubabe wa wanaume!! Wanataka mahaba na kubembelezwa zaidi!!

Ndiyo maana nimebeba characters zote ikibidi ubabe naupeleka ipasavyo ikibidi kubembeleza nabembeleza!! Yote maisha
 
Hata mimi ni mwanamke lakini huwa nawashangaa sana wanawake wenzangu kwenye hili. Wanawake kwenye mapenzi ni kama hatuna misimamo ama sijui niseme hatujielewi.

Yaani eti unakuta mwanamke anakuambia hapendi kuwa controlled. Haya akipata mwanaume asiyemcontrol anasema anaboa anataka mwanaume mbabe anayejua kucontrol.

Bora wengine tunajijua kabisa tukisema hatupendi kuwa controlled ni hatupendi kweli. Mimi mwanaume akiwa mpole ndiyo namheshimu ila akileta ubabe wallahi atajua hanijui.

Katika hili ndipo ilitokea usemi kuwa "mwalimu wa wanawake ni kipofu" ni kwa sababu hamuelewi mnataka nini!
 
Kuna wanawake tuna asili ya kichwa ngumu na kutest kama unaweza kukaliwa na kupelekeshwa.

Ila tukimpata anaesema No, hayumbishwi na kununa kwetu, wala uzuri wetu tunatiaga akili fasta.

Mkishajua mbinu zetu aisee hatutawatesa kabisa. Kwanza we hate being controlled, ila asietu control hatumtaki anaboa.

We hate being ignored, usipotushobokea tunajiskiaga kupasuka etc
Nakukubali sn babe, akili zikikutulia unatoa ushauri wa kibabe Sana. Wewe ni wife material kbs
I salute you
 
Daah! Kweli mwalimu wenu kipofu na hamjui mnataka nini?? Kuna uzi hapa juzi tu nimechangia wanawake wanalalamikia ubabe wa wanaume!! Wanataka mahaba na kubembelezwa zaidi!!

Ndiyo maana nimebeba characters zote ikibidi ubabe naupeleka ipasavyo ikibidi kubembeleza nabembeleza!! Yote maisha
Kubembelezwa tunapenda lakini not to the extent ya kuwa zoba.
Yaani wewe kila ninachokuambia unakubali.
Hapo tutakupelekesha hadi akili ikukae sawa.
 
Nitabaki yule niliye na vile nilivyo. Siwezi kubadirika kisa matakwa ya Mwanadamu itakua kama unaishi kwenye kivuli cha Watu. Kama mwanamke anakupenda atakupenda bila kujali vile ulivyo. Na wala sihitaji kupendwa na weeengi ili nionekane kidume nah just yule mmoja tu aliyenipokea kwa jinsi nilivyo anatosha.

Mambo ya kuwa badboy au namna gani ili kuvutia maelfu ya wanawake nawaachia ninyi...
 
Wanawake wengi tunapenda Wanaume wanaojiamini Mwanaume mwenye sauti Mwanaume anayethubutu kukuambia sitaki ufanye kitu flan na hufanyi, mwanaume mbabe flan hivi!!

Sio mwanaume wa kila kitu ndiyo yaani unampeleka peleka tu, hapana anaboa.
Hahahah mnapenda challenging guys kwa kifupi. This is what most of you like kimsingi😅 mwanaume ambaye nae ana opinion zake sio mjumbe ndio!
 
Kubembelezwa tunapenda lakini not to the extent ya kuwa zoba.
Yaani wewe kila ninachokuambia unakubali.
Hapo tutakupelekesha hadi akili ikukae sawa.
😂😂😂😂😂😂 mnachanganya raia, sasa care mnataka mkipewa care tunageuka mazoba tena. Ukiwa bandidu mwanamke atalalamika ila its the right way ya kum handle mwanamke 😂
 
Daah! Kweli mwalimu wenu kipofu na hamjui mnataka nini?? Kuna uzi hapa juzi tu nimechangia wanawake wanalalamikia ubabe wa wanaume!! Wanataka mahaba na kubembelezwa zaidi!!

Ndiyo maana nimebeba characters zote ikibidi ubabe naupeleka ipasavyo ikibidi kubembeleza nabembeleza!! Yote maisha
Haipingwi

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachanganya raia, sasa care mnataka mkipewa care tunageuka mazoba tena. Ukiwa bandidu mwanamke atalalamika ila its the right way ya kum handle mwanamke [emoji23]
Dawa ni kua mshenzi tu, unalamba hadi kichuri

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachanganya raia, sasa care mnataka mkipewa care tunageuka mazoba tena. Ukiwa bandidu mwanamke atalalamika ila its the right way ya kum handle mwanamke [emoji23]
Sasa nyie kila kitu mseme 'ndiyo'
Hata ambavyo unaona unapelekeshwa!uzoba huo,,vingine mjiongeze.
Mimi mtu akiwa zoba sana simtaki..nitamuonea[emoji1787]
 
Tatizo nikuleta usabato had kwenye mapenzi. Kuna jamaa nilifumaga sms yake kwa dem amemtumia vifungu vya biblia ana mkumbusha kuzini ni dhambi hiv seriously kwel unamtumia dem unaemtongoza vitu kama hiv unategemea nini? Hapo wenda ata kumkiss uwezi kwa kuofia kutenda dhambi.
 
😂😂😂😂😂😂 hahahah zoba utamjuaje sasa au ulishawahi ku date na zoba?
 
Tatizo nikuleta usabato had kwenye mapenzi. Kuna jamaa nilifumaga sms yake kwa dem amemtumia vifungu vya biblia ana mkumbusha kuzini ni dhambi hiv seriously kwel unamtumia dem unaemtongoza vitu kama hiv unategemea nini? Hapo wenda ata kumkiss uwezi kwa kuofia kutenda dhambi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom