Kwanini wadau wanajamii forum mnabeza mtandao wa TikTok.

Nikimuona mwanaume anatumia TikTok, fb,IG actually namshusha thamani kwa kiasi flani... usiniulizee kwanini.
Huwo ni mtazamo wako mkuu, Ni vema pia kwa kuwa mtu hawezi kukuingilia unacho amini.
 
Watumiaji wengi hawana lengo la kujifunza, wengi huangalia video za kufurahisha macho tu
 
Watumiaji wengi hawana lengo la kujifunza, wengi huangalia video za kufurahisha macho tu
Vip kuhusu twiter(x) na video za ngono nao utasema una manufaa kwa jamii...., Je watazamaji huangalia video za kufurahisha nn?

Kikubwa Kama jamii tuwe positive tuu mitandao yote Ni mazuri tukiitumia kwa manufaa na sio tuu kubeza TikTok.
 
Ishi maisha yako,kama unaipenda tiktok au mtandao mwingine jiunge bila kuhitaji justification ya kiazi yeyote.
Ubinafsi huu, Kama binadamu inabidi tuwe na muingiliano wa kimawazo ili tufike mbali mkuu.
 
Nikitoka jf nikaona hanma nyuzi za maana kituo kinachofuata ni tiktak. Hapo ndio naweza malizia na bando kabisa.
Vichekesho ndio napenda, michezo na matukio ya kiila siku.
 
Hiyo TikTok ndo nn mkuu🤔
Tiktok ni mtandao unaokuletea clips nbalimbali za hovyo hovyo na kula Mb zako. Niliifutilia mbali. Huwezi kulinganisha na JF. Inakuletea malaya wanaojitangaza kujiuza na kwenda kinyume na maumbile. Huwezi kuina haya Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…