Kwanini wafanyabiashara wa kupima mkaa karibu wote vipimo vyao vya makopo ya bati yamekandamizwa katikati?

"Matumizi ya nishati mbadala ni lazima sio anasa".Mama alisema
 
Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
Siyo kukandamizwa tu, yanapondwapondwa kila mahala chini , juu na pembeni.
 
Zamani nilijua wanayaponda ili kipimo cha mkaa kipungue..

Ila nilifanya tafiti nyumba kwa nyumba za wanaouza mkaa nikaja gundua kuwa haya makopo yananunuliwa hivo hivo yakiwa yamepondeka..

Kupata kopo ambalo lipo zima kabisa gharama yake ni kubwa mno.

Hata maliasili wakikushika unapima mkaa katika kopo ambalo alijapondeka ni kesi .
 
Ndugu

Ndugu nionee huruma Mimi na huu uzee bado unaamua kunipiga kamba
 
Back
Top Bottom