Hao na wauza nyanya, viazi masokoni ni wahuni, dhulumati, wezi, hawata iona mbingu.Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
Mkuu napokudanganya mimi napata nini hapa soma hiyo article namba 8 hapo kwenye right of ownershipNdugu
Ndugu nionee huruma Mimi na huu uzee bado unaamua kunipiga kamba
Sasa kupimia kopo lililopondeka hao maliasili linawasaidia nini?Mkuu napokudanganya mimi napata nini hapa soma hiyo article namba 8 hapo kwenye right of ownershipView attachment 3009120
UjaelewaSasa kupimia kopo lililopondeka hao maliasili linawasaidia nini?
Halafu hata mstari huo uliouonesha hapo kwenye article imeelezea kinyume na ulivyosema wewe,nanukuu maneno ya mwisho kwenye article 8-3
Such measurements include using a plastic bucket and an un-dented tin can.
Un-dented tin can-kopo lisilopondeka/lisilotoboka
Yeye uchumi wake unamruhusu kusema hivyo."Matumizi ya nishati mbadala ni lazima sio anasa".Mama alisema
Ndio.Yeye uchumi wake unamruhusu kusema hivyo.
Zamani nilijua wanayaponda ili kipimo cha mkaa kipungue..
Ila nilifanya tafiti nyumba kwa nyumba za wanaouza mkaa nikaja gundua kuwa haya makopo yananunuliwa hivo hivo yakiwa yamepondeka..
Kupata kopo ambalo lipo zima kabisa gharama yake ni kubwa mno.
Hapo kwa mali asili ni uongo tu
Hata maliasili wakikushika unapima mkaa katika kopo ambalo alijapondeka ni kesi .
Soma comment zaidiHapo kwa mali asili umedanganya
Pole Fundi manyumba kwa kuchelewa kujibu nilikuwa Niko natafsiri kwa kamusi ,hii sheria neno kwa neno ,mpaka ukweli numeujua .Mkuu napokudanganya mimi napata nini hapa soma hiyo article namba 8 hapo kwenye right of ownershipView attachment 3009120
Tupo pamoja mkuu..Pole Fundi manyumba kwa kuchelewa kujibu nilikuwa Niko natafsiri kwa kamusi ,hii sheria neno kwa neno ,mpaka ukweli numeujua .
Nisamehe bure ningeyajulia wapi haya na lugha ya malkia ilinikataa ,japo Asante umenipa Cha kuwafundisha wanakijiji leo
Ahsante KakaTupo pamoja mkuu..
Apikie maharage kwenye
Kweli 😅😅 kabisaBongo hapa kuna kasumba ya kufanya mambo kwa kuiga kwa waliotangulia hata kama hajui sababu ya kwanini hiki kiko hivi ila yeye anaiga tu.....
Hayo makopo ya kupimia mkaa kama issue ni kipimo muuzaji anaweza akalikata au akatafuta kopo la size ya kubeba mkaa kiasi anachokitaka yeye na sio lazima aliponde ponde hadi linakuwa kama limekanyagwa na gari.
Nirekebishe hapo kama nimekosea kutafsiri,ututafsirie kwa ufasaha hicho kiingereza kilichoandikwa hapoUjaelewa
Ulimleta mjini😀😀Siku nyingine ukienda kununua huo mkaa nenda na Kopo lako ambalo halijabonyea.