Kwanini wafanyabiashara wadogo 20s-30s waliotoboa wakifilisika ni ngumu kujirudi lakini wanaoanza kushika pesa kwenye 40s ni nadra kudondoka?

Ili urudi ulipo toka lazima ukubali kwamba umeshuka na uwe tayari kuishi maisha ya chini ambayo yanaendana na budget yako iLi pesa unazozipata uweze kusave upate mtaji uanze kurudi kwenye mfumo mdogo mdogo.

Fact ni kwamba mtu yeyote aliye katika level yoyote ikiwa aliwahi kuwa na pesa za kutosha then akashuka kiuchumi huwa ni ngumu kukubali matokeo ya kuundergrade lifestyle yake ambayo alikua anaiishi hapo mwanzo kwakuhofia kuchekwa.

Kwahiyo unakuta hata mkimsaidia kifedha hazitumii kwenye maswala ya kibiashara ila anazitumia kwenye kumaintain ile lifestyle yake.

Na asili ya kila mwanandamu huwa anaomba au kukopa pesa pale mambo yanapofungamana na presha kuwa kubwa Kwahiyo unakuta bills zimefungamana, huku unadaiwa kodi, mara ada za shule na bills nyingine nyingine ndio unatafuta means ya kuazima au kukopa pesa na ukipewa pesa yote inaishia kwenye hizo bills na unarudi kwenye comfort zone yako unaanza kuhustle kutafuta pesa ya kula na akili ikikaa sawa unakumbuka kwamba unahitaji mtaji ila unajikuta wale watu wote ambao ulikua unategemea wakukopeshe wanakudai in short haukopesheki yani na hapo ndio maji utaita mma mbaka pale utakapo kubali kwamba maisha yako yamebadilika so unatakiwa kuanzia chini Ili upande nayo mdogo mdogo.

Hao wa kwenye 40s ni wale ambao maisha yalishawafunza na mostly ni wale ambao tayari wako na exposure na mambo ya fedha na mara nyingi ni wale ambao walishawahi kuzishika zikapotea wakakubali kurudi chini then wakipata second chance they will show no mess.

Ila ukikutana na mwenye 40s ambae hana experience yoyote na pesa hata ukimpa million 500 hawezi fanya lolote sana sana utamuua tu na ukimwi au na ajaLi za barabarani kisa ulevi wa kupindukia.

Case study nenda kaangalie wale wanaouzaga nyumba za urithi wakishagawana hizo pesa huwa wanaishia wapi, ndugu zangu wazaramo wataongea wake kila iitwayo leo na mwisho wa siku pesa inapotea anaambulia kajumba ka vyumba viwili huko vikindu.

NB: Kuanguka kiuchumi hadi urudi tena pale ulipo kua huwa haichukui mwezi au mwaka bali ni miaka kwasababu watu hawa hata akili zao huwa zinakua haziko sawa. Kwahiyo hii ni bato ya Wewe na Wewe na kadri unavyotaka kurudi pale juu kwa haraka ndivyo unavyozidi kufanya makosa mengi ambayo yanazidi kukudidimiza chini na kadri unavyozidi kudidimia ndio utazidi kuwa depressed na usipo kuwa makini waweza kuugua wehu, kufa au kushinda umejifungia ndani kwa mentality ya watanionaje.
Umetema madini yenye kiwango cha A+
 
Tusimulie tujifunze ndugu ,hela Hana adabu kabisa
Ni historia ndefu kdg, lkn kwa ufupi tu, nilivyomaliza chuo nikiwa na age ya late 20s kuna mkondo wa hela niliupata, nikanunua assets kadhaa, i.e viwanja, nikafungua biashara kadhaa na gari safi ya kutembelea..hapo sasa starehe zikaanza rasmi, clubs na mimi, pombe na mimi, nawinda slay queens kila kona...baada ya miaka minne mbele.....Doooooh!!! nilishafulia hata sieleweki, kila kitu nimeuza, hata pesa ya kula ni mtiti..hakuna rangi sikuacha kuona! nilifikia hadi kufikia kubeba zege na Masters yangu ili nipate msosi niwe hai tu, nimefanya kazi za kitumwa sana maana ilibidi nikimbie mkoa kbs, nilipata majuto makali sana! but kwa sasa nimesimama, biashara inatengeneza faida kubwa, nimekuwa na comeback ya nguvu sana...KINACHONIBEBA KWA SASA, 1. Ukomavu wa kimaisha i.e Sina mambo mengi mfano starehe, marafiki wachache ambao ni sahihi 2. Hofu ya kurudi kwenye msoto, inafanya niwe makini zaidi 3. Ninapambana sana kusaka maarifa mapya hasa ktk nyanja za biashara...nk Naamini siwezi kuanguka tena!
 
Good experience
 
Ili urudi ulipo toka lazima ukubali kwamba umeshuka na uwe tayari kuishi maisha ya chini ambayo yanaendana na budget yako iLi pesa unazozipata uweze kusave upate mtaji uanze kurudi kwenye mfumo mdogo mdogo.

Fact ni kwamba mtu yeyote aliye katika level yoyote ikiwa aliwahi kuwa na pesa za kutosha then akashuka kiuchumi huwa ni ngumu kukubali matokeo ya kuundergrade lifestyle yake ambayo alikua anaiishi hapo mwanzo kwakuhofia kuchekwa.

Kwahiyo unakuta hata mkimsaidia kifedha hazitumii kwenye maswala ya kibiashara ila anazitumia kwenye kumaintain ile lifestyle yake.

Na asili ya kila mwanandamu huwa anaomba au kukopa pesa pale mambo yanapofungamana na presha kuwa kubwa Kwahiyo unakuta bills zimefungamana, huku unadaiwa kodi, mara ada za shule na bills nyingine nyingine ndio unatafuta means ya kuazima au kukopa pesa na ukipewa pesa yote inaishia kwenye hizo bills na unarudi kwenye comfort zone yako unaanza kuhustle kutafuta pesa ya kula na akili ikikaa sawa unakumbuka kwamba unahitaji mtaji ila unajikuta wale watu wote ambao ulikua unategemea wakukopeshe wanakudai in short haukopesheki yani na hapo ndio maji utaita mma mbaka pale utakapo kubali kwamba maisha yako yamebadilika so unatakiwa kuanzia chini Ili upande nayo mdogo mdogo.

Hao wa kwenye 40s ni wale ambao maisha yalishawafunza na mostly ni wale ambao tayari wako na exposure na mambo ya fedha na mara nyingi ni wale ambao walishawahi kuzishika zikapotea wakakubali kurudi chini then wakipata second chance they will show no mess.

Ila ukikutana na mwenye 40s ambae hana experience yoyote na pesa hata ukimpa million 500 hawezi fanya lolote sana sana utamuua tu na ukimwi au na ajaLi za barabarani kisa ulevi wa kupindukia.

Case study nenda kaangalie wale wanaouzaga nyumba za urithi wakishagawana hizo pesa huwa wanaishia wapi, ndugu zangu wazaramo wataongea wake kila iitwayo leo na mwisho wa siku pesa inapotea anaambulia kajumba ka vyumba viwili huko vikindu.

NB: Kuanguka kiuchumi hadi urudi tena pale ulipo kua huwa haichukui mwezi au mwaka bali ni miaka kwasababu watu hawa hata akili zao huwa zinakua haziko sawa. Kwahiyo hii ni bato ya Wewe na Wewe na kadri unavyotaka kurudi pale juu kwa haraka ndivyo unavyozidi kufanya makosa mengi ambayo yanazidi kukudidimiza chini na kadri unavyozidi kudidimia ndio utazidi kuwa depressed na usipo kuwa makini waweza kuugua wehu, kufa au kushinda umejifungia ndani kwa mentality ya watanionaje.
Wewe jamaa unayajua sana maisha,,hii comment ni dawa kubwa sana ambayo watu wengi hawaijui
 
Back
Top Bottom