Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Kwani Zanzibar na Tanganyika ni sawa?Hizo ni nchi mbili tofauti kabisa.Ni kweli ulikuwa haujui hadi nimekueleza?Watanzania mjue jambo moja tu .
Tanzania zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi samia angamia hili
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Uhakika?Haujasikia hotuba yao ya Mei Mosi?Ukiegemea population yao utupe na vyanzo vyao vya mapato.Kama umeme huwa unawashinda kulipa,hizo fedha za ziada za kulipana nauli na nyongeza za mishahara wanazitoa wapi?Kalaghabaho!Una uhakika?
pia ukumbuke na population ya Tanzania, ukilinganisha na nchi ya Zanzibar.
Ok.Kwa nini wao wawe na nyongeza na Tanganyika hawana.Katika mshahara unaolipwa, nauli ipo ndani yake ni vile haujapewa mchanganuo...
Uhakika?Haujasikia hotuba yao ya Mei Mosi?Ukiegemea population yao utupe na vyanzo vyao vya mapato.Kama umeme huwa unawashinda kulipa,
hizo fedha za ziada za kulipana nauli na nyongeza za mishahara wanazitoa wapi?Kalaghabaho!
Mapato wanayoshindwa kulipia umeme wanaoutumia?Kumbe, hongera yao
Kwamba zimetoka wapi? Nchi haina mapato?
Mbona simple tu...Ok.Kwa nini wao wawe na nyongeza na Tanganyika hawana.
NB;Vumilia neno Tanganyika.
Vema.Kumbe ni nchi mbili tofauti?Sasa neno "muungano" na majidai yote kusherehesha huo unaoitwa muungano(hewa) ya nini?Siyo kupotezeana muda na kudanganyana tu?Mbona simple tu...
Ukiacha wizara zilizopo kwenye muungano ambazo zipo chini ya hazina ya JMT, wizara nyingine zote Zenji zipo chini ya SMZ ambao nao wana hazina na utumishi yao, hivyo maamuzi ya SMZ hayaingiliani na yale ya JMT...
Kulalamika kwa nini watumishi wa SMZ wawe na maslahi tofauti na Bara (Tanganyika), ni sawa kabisa na kulalamika kwa nini watumishi wa serikali ya Kenya wawe na maslahi tofauti na Tanzania...
Vema.Kumbe ni nchi mbili tofauti?Sasa neno "muungano" na majidai yote kusherehesha huo unaoitwa muungano(hewa) ya nini?Siyo kupotezeana muda na kudanganyana tu?
Mishahara sana ndo nini mkuu?Ukiona comment za watu ndivyo unazidi kuonea Watz wanayojifanya wajuaji Kwa vitu/kitu wasichokijua. Watumishi SMZ wana mishahara Sana ukilinganish na Tz Bara labda wale wanofanya taasisi