kwani kelele za tozo zimeisha?Hawa wadzabe kwanini wao wameendelea kuishi huko maporini?
Wao hawataki maisha bora ya mjini kama wenzao wamaasai?View attachment 2332882
Halafu hao wadzabe wametoa masharti yao ya kupata nyama na yamekubaliwa. Sie tumeomba tozo za bank, zisitishwe tumepewa tu majibu ya kupunguzwa kwa tozo.kwani kelele za tozo zimeisha?
Hawa wadzabe kwanini wao wameendelea kuishi huko maporini?
Wao hawataki maisha bora ya mjini kama wenzao wamaasai?View attachment 2332882
Hawa wadzabe kwanini wao wameendelea kuishi huko maporini?
Wao hawataki maisha bora ya mjini kama wenzao wamaasai?View attachment 2332882
Eneo lao lina hati miliki from the government kupitia Mpango wa Village land use plan.....Kuna mwarabu anapataka huko kwao? Akitokea muwekezaji anapata wataondolewa hata leo, na utatengenezwa upendo fake ili wahamishiwe pengine.
Material world sio muktadha waoNyerere alijaribu kuwajengea nyumba bora...walirudi porini wakaacha nyumba za bati
Hawana lolote hao. Angalia mavaz Yao. Wanatakiwa wawe uchi ama wanavaa majani. Waachane tu na upuuz wa maigizo waishi maisha kama ya wengineHawa wadzabe kwanini wao wameendelea kuishi huko maporini?
Wao hawataki maisha bora ya mjini kama wenzao wamaasai?View attachment 2332882
Kwani huko kuna "The Big 5"? Kuna 4 au 5 star lodge inataka kujengwa huko?Hawa wadzabe kwanini wao wameendelea kuishi huko maporini?
Wao hawataki maisha bora ya mjini kama wenzao wamaasai?View attachment 2332882