Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

Kwetu bongo mtu anaonekana kabisa anakipaji lakin serikali inampotezea ad anarudi shamba kuishia kulima
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Magufuli HILI ALIFANYIE KAZI....
TUNAMTEGEMEA YEYE...

Popote ulipo baba MAGUFULI,vijana wanalalamika VIPAJI VINAPOTEZEWA....Ila wanashukuru kina Zuchu wanajitahidi kuimba....
Baba JPM huku mitaani KILA kijana ETI ATAKA KUIMBA KAMA DIAMOND....hv RWANDA nako ni hivihivi?!!!

Tuna IMANI nawe kipenzi magufuli...plz continue to change the horrible STATUS QUO....aaaamen aaamen
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Magufuli HILI ALIFANYIE KAZI....
TUNAMTEGEMEA YEYE...

Popote ulipo baba MAGUFULI,vijana wanalalamika VIPAJI VINAPOTEZEWA....Ila wanashukuru kina Zuchu wanajitahidi kuimba....
Baba JPM huku mitaani KILA kijana ETI ATAKA KUIMBA KAMA DIAMOND....hv RWANDA nako ni hivihivi?!!!

Tuna IMANI nawe kipenzi magufuli...plz continue to change the horrible STATUS QUO....aaaamen aaamen
Tutasubiri kutengenezewa na wa wazungu kila kitu adi chupi mpakA uzeeni
 
Oyaaa mazee MBONA hamkomenti bnaa ama ndo maaandalizi ya kugoma kesho na kuifanya EAPOTI yetu karantini eeee?

Lissu ANAKUJA na porojo za siasa.....tulitegemea ubelgiji na Ujerumani karibu atakuja na mipango YA TUWE WANASAYANSI km Dr Sigmund Freud et Al,yeye anatuletea MBARUA MREEEEFUUU wa kukamatwa wakulungwa wetu looooh mbaya ndugu....

Where is patriotism,?

Should we continue to dwell on how we can prosper as GERMANY au tuendeleze Monde aaagh
 
Kuna kipind nilipata bahati ya kutembelea kiwanda cha KRONES watengenezaji wa mashine za kutengenezea vinywaji aice jamaa wana watu wako serious sana na kaz zao,mtu anafanya kazi productive analipwa pesa nzuri kabisa.,, unapishana nayo yanatoka kiwandani yanavuta fegi zen yanarud ndan yan theory ya kila part ya mtambo husika nouma sana
 
Ma
Kuna kipind nilipata bahati ya kutembelea kiwanda cha KRONES watengenezaji wa mashine za kutengenezea vinywaji aice jamaa wana watu wako serious sana na kaz zao,mtu anafanya kazi productive analipwa pesa nzuri kabisa.,, unapishana nayo yanatoka kiwandani yanavuta fegi zen yanarud ndan yan theory ya kila part ya mtambo husika nouma sana
Mambo hayo....its high time now to speed up our goals ya Tz ya VIWANDA Kaka...KIMKAKATI hasaa
 
Hili swali nilipata majibu yake jana kutoka kwa babu
Babu anasema miaka ya nyuma kusomea ufundi wowote mf. Uashi, useremala n.k ilikuwa unasoma miaka 3 alafu unatakiwa uzunguke kwenye karakana mbalimbali kufanya kazi kwa kipindi cha miaka 3 tena ili kupata ujuzi tofautitofauti inaitwa (Wandergeselle) hii ilisaidia mtu kujifunza vingi hadi sasa bado ipo lakini kwa kiasi kidogo sana, pia ili uruhsiwe kufungua ofisi yako ni lazima uwe una elimu ya juu zaidi kwenye huo ufundi inaitwa Meister (ukuu ama utaalamu) na hiyo kuipata kwa miaka hiyo ilihitaji hata zaidi ya miaka kumi baada ya kusoma ufundi wa kawaida na waliyofungua ofisi kwa siri bila kuwa na Meister walifilisiwa na adhabu zilitolewa kwao hivyo tangu hapo ukawa ni muendelezo wa watu kauhakikisha wanafanya vitu kwa ubora wa hali juu.
Niemandika mengi yanaweza kumchanganya msomaji unaruhusiwa kuuliza tena.
 
Wahandisi wa TANESCO wao wana shida gani,huja tudokeza hilo.
Mkuu. Inaonekana umekulia ulaya na Bado uko ulaya. Kipindi choote miezi 18 niliyokaa ulaya umeme haujawahi kukatika. Hapa TZ hata muda huu umeme umekatika ilhali tanesco Kuna mainjinia kibao. Hivi hawawezi kukagua vifaa vyao mpaka umeme ukatike ndio waje Kama Zima Moto? Inatumia akili na gharama kiasi gani kukagua transformer ili lisiungue? Ndio maana che Nkapa alileta mabeberu kuja kuwasimamia Hawa japo vyuo wameenda vile vile na course zile zile.
 
Boss historia yao ni ndefu sana. Kuanzia huko kwa mbabe Hitler, alitaka German kuwa nchi ya technology ya kutisha duniani (Fuatilia historia ya VW). Wakainvest a lot in technology industries. Watu wengi hawajui hata maujuzi yote ya NASA walitoa huko (Nazi German). Nuclear weapon tech ya mjerumani hiyo (USA) iliwaassemble kibao hapo Los Alamos National Lab. Space Shuttle (Merlin Engines) tech ya mjerumani pia USA walifanya modification kidogo tu. Kuna TV show kabisa (Hunters-Amazon Prime) inaonyesha how USA iliwaiba au kuwapa uraia na majina tofauti kabisa hao Nazi guys for their technology organized by FBI. Na wana institutes zao hizo Max Plank (mziki mnene) zimejikita kwenye tech zote unazojua and wako ways ahead. Our company tunacompete na some of them in our area and product zao zinatupa za uso balaa!
 
Pia shangaa na kujiuliza kwanini German is good at Engineering but there are not any German universities in the top 20 World rankings [emoji848]
Aisee these guys Germans are INTELLIGENT and RIGID, that's why so many widely known & esteemed scientists and/or inventors were German historically.
Tunaongelea akina: Einstein, Heisenberg, von Braun, Max Planck, Schrödinger, Ludwig Prandtl, na wengine kibao tu.

Kwanza unatakiwa kujua German engineering mentality is to really want to know and figure out how it works, on a very deep level. Tofauti na nchi zingine ambazo wao they just want to know how it works on a top level only, but they stress you all the time how (whatever it is) can make money quickly.
And if you can’t answer that question, they just move on (kibongo bongo/kiafrica na kwengineko)

These guys pia love science and technology. It is in their blood. Many engineers in Germany do private engineering projects in their free time. It is their passion. And if you like something you prosper. Sio kama nchi zetu hizi you just study engineering only to make a living. That has deeper roots in the cultural system and values in the society as a whole.

That's all

Naomba WAJUMBE wenzangu waje kuongezea nyama hapa [emoji23][emoji23][emoji23] ila WAJUMBE bwana sio watu aisee kasoro mimi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
uwekezaji usio na mashaka kwenye elimu ya ufundi kwa ngazi zote na kwa muda mrefu..
 
Mainjinia wa Tanzania ni mavi nacTakataka wakiwa vyuoni waona na wakufunzi wao huwaza ubunge na idiwani kima hawa hawana jipya !!!!!!hebu fikiri hata bodi za magati ya taktaka hawawezi Ku design !!! Jitu lina masters ya chemistry hata kiwi ya viatu halijui kutengeneza hovyooooooooooooo

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Hakika Mada Ina AFYA Sana Hasa KIPINDI HIKI Cha kuwa na RAIS mzalendo na mwenye maono ya KUSIMAMA WENYEWE na kutotegemea WAJOMBA WASIOKUWEPO huko nje....

Germany is a very interesting country...Kuna ya kujifunza....

1.Kiteknolojia
2.Kielimu
3.Kiviwanda

Wajerumani Wana msemo wao kuntu:
Wieetwas nutztsowirdes geputzt

Yaani "atumiaye kitu huking'arisha daima"............
Tatizo tunawekeza heavily katika non productive sector inayoitwa "ulinzi na usalama". Inawezekana kwa kila watanzania watano mmoja ni "mlinzi na msalama" akiwa kwenye payroll hiyohoyo inayotokana na ka keki kadogo ka nchi. Vijana wenye afya njema na akili safi badala kuendelezwa ki elimu na teknolojia wengi wanakazi za kukusanya taarifa za watu na kufatilia mienendo ya maisha ya wengine! What a waste!!!
 
Back
Top Bottom