Kwanini Wahaya na watu wa Kanda Ya Ziwa Victoria wana akili nyingi?

Unauza virutibisho mbadala wa kula samaki??
 
Nimejuta kumpa mwanangu takataka sijui Omega 3 ,Loh Mwenyewe alikua hapendi,kuna Mdada alinishawishi nikanunua hizo.
Wanajua kushawishi hao.... Mimi wamenilia pesa yangu.... Laki 4 na usheee.... Nikawapa mrejesho havinisaisiii.... Nikaambiwa inabidi tukubadilishie .... nikawakimbia na namba za sikmu nilifuta....😅🤪😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…