Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mkuu umeongea mengi Ila napigia mstari"Wazungu hawataki muijue historian yenu" Haswaa!!.Wazungu vitu maarufu vya Afrika wamevipa majina yaa, mf Bahari ya Hindi,lake victoria nk.Wazungu hawataki na huwatenga waafrika na ancient egypt wakati masanamu yote yanapua za kibantu, nywele za kirastakisomali na rangi nyeusi na brown.Bado kuna waafrika wenzetu wanakwambia wale ni waislaeli.mkuu inasikitisha sana.Historia ni mwenendo wa kale na maisha kuhusu watu vitu Mali, uwezo, Milki, Ardhi nk, Kweli hii tabia ya kutopenda, watu wenu, vyenu, imeanzia vizazi vya mbali ndo maana wazee wenu walipoteza utajiri kirahisi,
ndiyo imefanya mfanyiwe kila kitu leo, ukipinga hx ni umewakana nduguzo babu wa babu, chuki tayari, ndiyo maana waafrica hampendani mnachomana kirahisi km Boko haramu. Waarabu walimtunza Osama dhidi ya adui mpaka raha! yote sababu ya upendo ili kutunza hx yao.
Waaarabu, wahindi na wazungu wenzenu wana enzi mpaka na mifupa ya wahenga wa miaka karne, mfano ya Alexander the great, Makaburi swaaafiii, yana bustani zimepangiliwa na zinalindwa na angalia walivo na umoja!
Hata Lugha yenu mmeandikiwa, kula yenu , soma yenu, kunya yenu ina fanyiwa utafiti na watu wengine, waliojua thamani ya kile mricho nacho! kifupi hamjui mliko toka mlipo, kwa nini na mnaenda wapi! hujui King mansa Musa alifanyia nini dhahabu! ili na wewe leo basi ufanye ili uishi!
Mpaka leo wakubwa na watoto wa kiswahili hawapendi Historia, wanapenda Sayansi km pambo tu, ambayo hawaifanyii lolote wala hata kuijua zaidi ya kuwa madalali wa wazungu mfano Drs', hata muafrica ukijifariji siyo dhambi! kuna mtu hataki faraja? yaani hata faraja unaichukia?
Unapoikandya Historia yenu, unaona ni sawa wazungu hawataki muijue Historia yenu, wameimiliki sehemu zote maarufu na kuwa yao, hata ukiikataa Tanzania yako leo, ambayo ni historia ya kesho wao wanaitaka. kesho watasema tony stark wa JF alikuwa Mzungu.
Maktaba kubwa ya kale ipo Mali nyingine ilikuwepo misri bwana Alexandra aliitia kiberiti lakini vitabu vyetu havina hizo taarifa na maproffesa wanaona sawa tu wanaendelea kutulisha matango pori pale kitivo.