Historia ni moja ya njia za kujifariji, Je historia itabadirisha uhalisia wa ujinga na umaskini tulionao leo?
Historia ni mwenendo wa kale na maisha kuhusu watu vitu Mali, uwezo, Milki, Ardhi nk, Kweli hii tabia ya kutopenda, watu wenu, vyenu, imeanzia vizazi vya mbali ndo maana wazee wenu walipoteza utajiri kirahisi,
ndiyo imefanya mfanyiwe kila kitu leo, ukipinga hx ni umewakana nduguzo babu wa babu, chuki tayari, ndiyo maana waafrica hampendani mnachomana kirahisi km Boko haramu. Waarabu walimtunza Osama dhidi ya adui mpaka raha! yote sababu ya upendo ili kutunza hx yao.
Waaarabu, wahindi na wazungu wenzenu wana enzi mpaka na mifupa ya wahenga wa miaka karne, mfano ya Alexander the great, Makaburi swaaafiii, yana bustani zimepangiliwa na zinalindwa na angalia walivo na umoja!
Hata Lugha yenu mmeandikiwa, kula yenu , soma yenu, kunya yenu ina fanyiwa utafiti na watu wengine, waliojua thamani ya kile mricho nacho! kifupi hamjui mliko toka mlipo, kwa nini na mnaenda wapi! hujui King mansa Musa alifanyia nini dhahabu! ili na wewe leo basi ufanye ili uishi!
Mpaka leo wakubwa na watoto wa kiswahili hawapendi Historia, wanapenda Sayansi km pambo tu, ambayo hawaifanyii lolote wala hata kuijua zaidi ya kuwa madalali wa wazungu mfano Drs', hata muafrica ukijifariji siyo dhambi! kuna mtu hataki faraja? yaani hata faraja unaichukia?
Unapoikandya Historia yenu, unaona ni sawa wazungu hawataki muijue Historia yenu, wameimiliki sehemu zote maarufu na kuwa yao, hata ukiikataa Tanzania yako leo, ambayo ni historia ya kesho wao wanaitaka. kesho watasema tony stark wa JF alikuwa Mzungu.