chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya.
Ilikuwa ni fursa kwao kuangalia nyumba za babu na baba zao zilivyochoka, mazao ya ndizi na kahawa yalivyoanguka, jinsi walivyoshindwa kusimamia hata ujenzi wa standi na soko japo serikali imeshawawekea mabilioni zaidi ya miaka mitano wameshindwa kuyatumia.
Kukimbia matatizo sio njia ya kutatatua.
#OmukaOjuka