Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya.

Ilikuwa ni fursa kwao kuangalia nyumba za babu na baba zao zilivyochoka, mazao ya ndizi na kahawa yalivyoanguka, jinsi walivyoshindwa kusimamia hata ujenzi wa standi na soko japo serikali imeshawawekea mabilioni zaidi ya miaka mitano wameshindwa kuyatumia.

Kukimbia matatizo sio njia ya kutatatua.

#OmukaOjuka
Kwani docta hayaland anasemaje.
 
wanaogopa kulogana maana karibia kila nyumba ina kibuyu cha uchawi na uchawi ni mwiko kufanya maendeleo! Wanaona bora wafanyie mikoa ya watu vibuyu vinakuwa havina nguvu sana kwakua kunakua hakuna kujuana kwa undani.....Wahaya mmejitahidi kusoma ila kwenye mambo ya utamaduni mbaya pia hamjambo,Badilikeni mkajenge kwenu.
Nliwahi kuweka uzi humu,wahaya kwandumba ni noma,sema waty. Baki huwa hawajui hilo
 
Amna sio vibaya😁
Ngoja tukenue, kama hatuvunji sheria za nchi.
downloadfile-37.jpg
 
wanaogopa kulogana maana karibia kila nyumba ina kibuyu cha uchawi na uchawi ni mwiko kufanya maendeleo! Wanaona bora wafanyie mikoa ya watu vibuyu vinakuwa havina nguvu sana kwakua kunakua hakuna kujuana kwa undani.....Wahaya mmejitahidi kusoma ila kwenye mambo ya utamaduni mbaya pia hamjambo,Badilikeni mkajenge kwenu.
Wanaita nyaruju
 
Hakuna cha hela ni ushamba wangekuwa na pesa au fedha wangeenda kuusaidia mkoa wao. Hawa jamaa ni maskini ila wanajitutumua sana. Kuonekana.
Wakausaidie mkoa wao wakati kuna mwanza pale karibu? Unajua athari za majiji kwa mikoa mingine?
 
Hakuna cha hela ni ushamba wangekuwa na pesa au fedha wangeenda kuusaidia mkoa wao. Hawa jamaa ni maskini ila wanajitutumua sana. Kuonekana.
Umaskini hauna kabila ndugu, hata Dar walala hoi ndio wengi kuliko wanaoweza mudu mlo wa kila siku, Wengi dar kimwonekano anaonekana yuko vizuri lkn hawezi kumu kumiliki gari au anauwezo wa kununua gari lkn hawezi kumudu mafuta, na huo ni umaskini.
 
Back
Top Bottom