Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

Lengo ni kutangaza utamaduni wa mhaya..Kwa Kagera tayari wanaujua utamaduni wao. Ni sahihi kuuza utamaduni wa kihaya Kwa watu wengine toka mikoa mingine.

Dar. ni sehemu sahihi Kwa kuwa Ina mkusanyiko mkubwa wa watu toka pande zote za nchi, Afrika na nje ya Afrika
Kisha nikitangaziwa niige utamaduni wa Muhaya au ikoje? Hebu kuweni serious? Yaani Leo mie nianze tambo na majivuno.
 
Tamasha la washamba wapasukaji wanaopangishia vyumba madem sisi tunawamega kisela
 
Attachments

  • IMG_1272.jpeg
    IMG_1272.jpeg
    96.5 KB · Views: 2
Kabla hujamchamba nshomile jiulize Mkoani kwenu kuna kipi cha kuzidi Kagera?? Mie najiuliza maendeleo ni stendi na soko kuu tu basi? Bahati nzuri karibia Mikoa mingi Tanzania meneo ya vijijini nimefika ni Mikoa michache inayolingana na mkoa wa Kagera kwa maendeleo vijijini.
Ukifika kagera ukaangalia miundombinu ya barabara, ubora wa nyumba za kuishi, shule, hospital nina hakika ni mkoa wa kirimanjaro pekee unaoweza kuipiku kagera.
 
Income per capita
 
Wahaya mbwembwe tuu, wanajenga kwao lakini tatizo wame focus sana kujenga nyumba za kuishi badala ya biashara kitu ambacho ndio kitaleta maendeleo ya kweli kwao, ukitaka kuendeleza kwenu jenga real Business sio nyumba ya kwenda likizo
 
Halafu eti kuna uzi huku ulikua umeweka battle ya bukoba vs moshi .. sijui mtoa mada alifikiria nini .. nadhani mkoa wa kilimanjaro haukutendewa haki kuwekewa battle na kagera 😔😔
 
Back
Top Bottom