Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

Kwani docta hayaland anasemaje.
 
Nliwahi kuweka uzi humu,wahaya kwandumba ni noma,sema waty. Baki huwa hawajui hilo
 
Wanaita nyaruju
 
Hakuna cha hela ni ushamba wangekuwa na pesa au fedha wangeenda kuusaidia mkoa wao. Hawa jamaa ni maskini ila wanajitutumua sana. Kuonekana.
Wakausaidie mkoa wao wakati kuna mwanza pale karibu? Unajua athari za majiji kwa mikoa mingine?
 
Wakausaidie mkoa wao wakati kuna mwanza pale karibu? Unajua athari za majiji kwa mikoa mingine?
Muhaya yuko radhi ajenge Mwanza au Kahama kuliko Bukoba. Wanaogopa kurogwa na majungu
 
Hakuna cha hela ni ushamba wangekuwa na pesa au fedha wangeenda kuusaidia mkoa wao. Hawa jamaa ni maskini ila wanajitutumua sana. Kuonekana.
Umaskini hauna kabila ndugu, hata Dar walala hoi ndio wengi kuliko wanaoweza mudu mlo wa kila siku, Wengi dar kimwonekano anaonekana yuko vizuri lkn hawezi kumu kumiliki gari au anauwezo wa kununua gari lkn hawezi kumudu mafuta, na huo ni umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…