vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Hawa Wahindi wa india ambao ni waamini wa dini ya Kihindu wanawachukia sana Waislam wanakwambia wangeweza wangewateketeza kwa bomu kama lile la USA kwenda Japan.
Hii chuki inatokana na nini? Tukumbuke hawa wote ni wahindi jamii moja.
Zamani kutokana na hii chuki kulipelekea Waislam kujitenga na kuunda nchi yao ya Pakstan
Ila kuna Waislam walibaki kwenye nchi yao ya asili ya India na kupelekea mgogoro hadi leo.
Hawa Wahindu wana upendo wa dhati kwa Wakristo na Wabudha ila hawataki kuwasikia wahindi ambao ni Waislam.
Na ukichunguza kwa kina wahindi wengi waislam walikimbilia Africa na nchi nyingine kutokana na hizi chuki.
Nchini India jamii za kiislam zinaishi kwa wasiwasi sana na ukibainika muislam anaona binti wa kihindi anaweza kufa kifo cha kutatanisha.
Cha ajabu kule Pakstan jamii ya kihindi inachuki na ukristo kuliko Wahindu.
Sijawahi kushuhudia huu uhasama wa kidini nchi yeyote zaidi ya India.