Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Ni kweli kwenye Quran kuna kifungu kinachomruhusu muislam kujitoa muhanga na endapo atafanya hivyo atapewa mabikra 72 akifika ahera? Hii ni kweli au stori tu za mitaani?.
Hakuna sehemu ya namna hiyo.
Mimi siamini katika hizi dini kivile, ila nimelifuatilia hilo ni upotofu si kweli.
 
Amiin

Shukrani kwa ulinganifu akhy! Mungu akulipe kila la kheri na baraka nyingi.
 
ulichoandika ndio ukweli, ila zile dogma mnazopandikizwa na baadhi ya wahubiri wenu, ni tofauti na hicho ulichoandika.

nawaunga mkono wachina kwa kupiga vita uislamu kwenye nchi yao.
 
Dubai kuna movement kubwa sana ya chini kwa chini ya kuvunja makanisa tena makanisa yenyewe ni machache sana sijui matano tu
Haitotokea kamwe kuvunja makanisa coz wamiliki wa hotel na majengo mengi makubwa ni vigogo kutoka urus na ulaya na wapo wachina na hata wahindi , nikuambie tu wewe kama hujui dubai ipo uarabun but waliowekeza wengi ni kutoka nje ya dubai nenda kipindi cha christmas uone shamrashamra mpaka waarabu wanasherekea christmas eti ndio wavunje kanisa😂😂🤣🤣🤣😀😀 sema makanisa yanaongezeka
 
ulichoandika ndio ukweli, ila zile dogma mnazopandikizwa na baadhi ya wahubiri wenu, ni tofauti na hicho ulichoandika.

nawaunga mkono wachina kwa kupiga vita uislamu kwenye nchi yao.
sio kila kiongozi wa dini NI mtumishi wa MUNGU,wengi Sana NI watumishi wa Shetani,ukweli wa hizi dini zote mbili zipo ndani ya Vitabu sio midomoni mwa wanaowasilisha ama wahubiri.... waislam Aya yetu ya kwanza kushuka NI IQRAA (maana yake SOMA)sikuelewa kwa Nini Aya hi imekuwa ya kwanza kushuka mpaka nilipoanza KUSOMA,ukisoma hutaongopewa kwa kile ulichosoma,hata Kama uliongopewa utatambua utakaposoma kuwa uliongopewa,hatokusumbua mtu kwa sababu unajua 1+1=2 na sio vinginevyo duniani KOTE jibu NI Hilo ....Soma ndg yangu Kama unapenda kusoma acha kusikiliza wanayosema wahubiri NI wengi wapotoshaji... Quran zipo zilizotafsiriwa kwa kiswahili ,tafuta na usome utajaza mengi ya ukweli kuhusu uislamu..
 
na Tz nan aliwafundisha watu kwenda amboni na kibiti ? mna ttzo hkn namna ya kujidefend , popote mlipo hamkubalik kwa tabia yenu ya kutoheshimu iman za watu
mtu yeyote smart hawezi wahusisha waislamu na matukio hayo,siasa NI mchezo mchafu Sana ambao umeweka vivuli vyake mpaka kwenye dini...walikamatwa watu na kupotezwa kisa una ndevu nyingi ama sijda,Rick Ross angepita kwa bahati mbaya kibiti na kanzu masikini angepotea[emoji41]...tufikiri kiutimamu wa fikra sio kwa chuki na mihemuko
 
Unaonekana upo short tempered km waumini wengi huko

Nilisema dubai km sehemu ya mfano mdogo wa nchi za kiarabu ambazo ni jiji lenye wageni wengi pengine kuliko mji mwingne wa kiarabu

Nao kuna mashekh wanapiga vita ujenzi wa makanisa
Dubao zipo dini ngapi? Hebu jibu kwanza naona unaongea pumba sasa
 
Ndio matatizo yenu huanzia hapa mkishakosa jibu mnaanza kuongea kiarabu na uwongo mwingi

Lengo kiongozi wa kidini aliyeamrisha salmon kuuwawa asionekane na makosa

Kiongozi wa kidini ndio picha ya dini hasa yale anayoyafanya public ndio reflection ya dini husika
 
Kila kona ya hii dunia Dini ya kiislamu ni shida. Inapigwa vita na wazungu , wachina na wahindi na shida ni ile ile waislamu wanataka kulazimisha dini yao ifuatwe kwa nguvu kitu ambacho akikubaliki kwa dunia ya saiv ambayo dini ni hiyari ya mtu.
Inajipiga vita Yenyewe mkuu
 
nyie watu mbona hamfikirii!?Russia attacks Ukraine,Hawa wote nadhani waislamu wanawaua waislamu wenzao!!you guys are too blinded na propaganda za hovyo kuhusu uislamu kiasi kwamba hata ya ukristo hayaonekani!!inatia huruma

Nilikuwa namjibu member aliyesema kwamba Waislamu ni wamoja ndiyo nikampa hiyo mifano kwamba kama Waislamu ni wamoja kwa nini Saudi Arabia anatesa Waislamu Yemeni? Kwa nini Saudi Arabia anabomoa nchi ya Kiislamu Somalia na hataki Somali iwe na amani? Labda ungesoma kwanza alichoandika yule niliyemjibu!
 

Kipi ambacho kinamfanya mtu avutiwe na maandishi ya mtu hali ya kuwa hawakuzungumza? Yaani mawazo ya mtu yaliyo kwenye maandishi yamemvuta na akawepo kwenye uwepo wake.

Ikiwa hali ya namna hiyo maneno ya kuzungumzwa yana faida gani? Maneno ni kivuli cha reality! Kadri kivuli kitakavyokuvuta kadri utakavyoukaribia ukweli.

Maneno ni pretext. It is the inner bond that draws one person to another, not words. Hata kwako nikifanya miujiza 1000 bado hayatotosheleza ninachokielezea kwako kwa sababu inner bond/connection baina yako na yangu haipo!

Kuna njia 1000 za kupiga magoti na kuibusu ardhi. Kuna njia 1000 za kurudi nyumbani tena! Kuwa kama mti, liache jani kavu lianguke na lenye ubichi limee.

Usihadaiwe na story kuwa mambo yapo hivi na yamekwenda hivi! Unfold your own myth.

Itakuwa ni bora zaidi uusome Uislam si kwa kusilimu bali kwa lengo la kufahamu mwenendo wake upoje na wala si kwa kuwaangalia watu. Hayo yakidiriki kutakuwa na inner connection baina yangu na yako.
 
Unaonekana upo short tempered km waumini wengi huko

Nilisema dubai km sehemu ya mfano mdogo wa nchi za kiarabu ambazo ni jiji lenye wageni wengi pengine kuliko mji mwingne wa kiarabu

Nao kuna mashekh wanapiga vita ujenzi wa makanisa
Jibu swali wewe usirukeruke kama bisi, DUBAI KUNA DINI NGAPI?
 
Na ile mifereji inatiririsha pombe na nyama za ndege je?
 
Wahindu , mabudha n.k .msingi wao wa imani ni miungu wa kutengeneza...

Kitu ambacho katu , abadan, asilani, uislamu haikubaliani nacho hata kwa zawadi ya aina gani.....katu , katu,..katu.

Ni sawa na mtu kuifahamu almasi then wajanja fulani wajaribu kushawishi vipande vya chupa..

Hata ukristo imani yao imejengwa ktk kujifurahisha zaidi ...

Sasa nadharia hizo lazima zijenge chuki na uislamu...popote....

Ni sawa na mafuta kulazimisha yachangamane na maji....katu, abadan..
 
mwambie uyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…