Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Ni kweli kwenye Quran kuna kifungu kinachomruhusu muislam kujitoa muhanga na endapo atafanya hivyo atapewa mabikra 72 akifika ahera? Hii ni kweli au stori tu za mitaani?.
Hakuna sehemu ya namna hiyo.
Mimi siamini katika hizi dini kivile, ila nimelifuatilia hilo ni upotofu si kweli.
 
Kwanza Usalafi ni mmoja tu. Na kuugawanya kama wanavyofanya baadhi ya watu hasa wasomi wa Kimagharibi kwenye mapote mfano "Quietist Salafism" au "Salafi Jihadist" ni makosa.

Na hutakuta Salafi eti anasema nje ya Masheikh uliowataja wewe hakuna Dini. Hapo utakuwa unamaanisha kuwa hao "Masalafi" unaowazungumza hawachukui kutoka kwa Imaam Ibn Kathir, Ibn Qudama, al-Khatib al-Baghdadi, Ibn Asakir, Ibn al-Jawzi, Ibn Rajab al-Hambali, Adh-Dhahabi, Imaam Ibn Hajar al-Asqalaani, Imaam Suyuuti, Imaam Mahmud Shukri al-Alusi, Imaam Shawkaani, Imaam Ibn Jarir at-Tabari, Imaam Ibn Khuzaimah, Imaam at-Tahawi, Ibn Abil-Izz al-Hanafi, Imaam Ibn Hazm, Qadhi 'Iyad na wengine weeeengi mno (Allah awarehemu wote) na awahifadhi walio hai.

Pia, Isis na wengine mfano wao sio Masalafi, bali ni Makhawaarij (sijakisoma hicho kitabu cha "Refuting Isis" bado).

Na hao Isis na mfano wao, hawawakubali kabisa baadhi ya Wanachuoni uliowataja. Hawamkubali Shaykh Ibn Uthaymeen, Ibn Baaz, Albani (Allah awarehemu)wala Al-Fawzaan(Allah amhifadhi). Itakuwa huwajui vizuri hao.

Kuna tofauti kati ya Makhawaarij na Masalafi. Bahati nzuri Masalafi wenyewe hujipambanua kwa watu wao ni nani na Da'awah yao wanaifafanua.

Na mwisho kabisa, Masalafi kusema watu fulani ni Watu wa Bida'a wanafanya hivyo kwa dhulma? Na je watu wanaofanya shirki wakiambiwa kuwa wanafanya shirki wanaonewa? Ni makosa kusema hivyo? Mtu akifanya shirki hasa kiukweli na shirki yake ikakemewa ni makosa? Na kuhusu kuwatoa watu katika Uislam, katika watu wanaochunga mipaka, misingi na masharti mno katika kukufurisha, Masalafi wanaongoza. Ni waadilifu mno katika hili. Hutoona wakimkufurisha mtu maalum bila ya kufuata masharti ya Kishari'ah. Ajabu ni kwamba baadhi ya wanaowasingizia Masalafi kuwa wanawatoa watu katika Uislam (bila ya haki) nao hufanya hivyo hivyo, tena kwa ujinga au matamanio tu.

Nakukumbusha ndugu yangu post #10 ya uzi huu ulipomjibu mtu aliyesema kuhusu wanaojilipua, japo aliandika kuwakejeli Waislam, wewe ukasema "Huyo si Muislam!" Huko nako si kumtoa mtu katika Uislam? Ama mimi sijaelewa?

Ni hayo tu. Allah atuongoze sisi na wewe ndugu yangu Hammaz Katika njia iliyonyooka.

Na Allah anajua zaidi.
Amiin

Shukrani kwa ulinganifu akhy! Mungu akulipe kila la kheri na baraka nyingi.
 
Sasa hao wanaofanya hivyo ndiyo wahuni wa kwenye dini!

Uislamu umekataza kumshambulia mtu kisa kakutukana! Hata Mtume alipoulizwa na Arab jamii ya Bedui ya kuwa umetujia na nini? Mtume alianza amekuja na ubinadamu kwanza, dini ikawa ni ya 3 kwenye jawabu lake. Mafundisho ya dini yanasema ubinadamu kwanza kabla ya dini.

Mtume amekashifiwa hakuamuru wauawe! Akisalimiwa alikuwa akiambiwa Assamu alaykum: Maana yake; kifo kiwe juu yako (ewe Muhammad) lakini yeye hakukasirika wala kuamuru hao watu wapigwe.

Mtume alipigwa mawe mpaka damu zinamchuruzika lakini hakuwaombea waliompiga dua mbaya wala kuwaamuru Maswahaba zake waende wakalipe kisasi chake.

Mtume kwa kugundua kua Madina wanaishi jamii zenye dini tofauti aliingia nao mikataba ya amani baina ya jamii hizo zote wakiwemo na wao likiwemo suala la jamii hizo zote waweze kulinda maslahi ya mipaka ya ardhi endapo mahala popote pakivamiwa watetee ardhi yao.

Fahamu ya kwamba; kwenye dini kuna wahuni! Ukimpata muhuni atawapeleka kihuni.
ulichoandika ndio ukweli, ila zile dogma mnazopandikizwa na baadhi ya wahubiri wenu, ni tofauti na hicho ulichoandika.

nawaunga mkono wachina kwa kupiga vita uislamu kwenye nchi yao.
 
Dubai kuna movement kubwa sana ya chini kwa chini ya kuvunja makanisa tena makanisa yenyewe ni machache sana sijui matano tu
Haitotokea kamwe kuvunja makanisa coz wamiliki wa hotel na majengo mengi makubwa ni vigogo kutoka urus na ulaya na wapo wachina na hata wahindi , nikuambie tu wewe kama hujui dubai ipo uarabun but waliowekeza wengi ni kutoka nje ya dubai nenda kipindi cha christmas uone shamrashamra mpaka waarabu wanasherekea christmas eti ndio wavunje kanisa😂😂🤣🤣🤣😀😀 sema makanisa yanaongezeka
 
ulichoandika ndio ukweli, ila zile dogma mnazopandikizwa na baadhi ya wahubiri wenu, ni tofauti na hicho ulichoandika.

nawaunga mkono wachina kwa kupiga vita uislamu kwenye nchi yao.
sio kila kiongozi wa dini NI mtumishi wa MUNGU,wengi Sana NI watumishi wa Shetani,ukweli wa hizi dini zote mbili zipo ndani ya Vitabu sio midomoni mwa wanaowasilisha ama wahubiri.... waislam Aya yetu ya kwanza kushuka NI IQRAA (maana yake SOMA)sikuelewa kwa Nini Aya hi imekuwa ya kwanza kushuka mpaka nilipoanza KUSOMA,ukisoma hutaongopewa kwa kile ulichosoma,hata Kama uliongopewa utatambua utakaposoma kuwa uliongopewa,hatokusumbua mtu kwa sababu unajua 1+1=2 na sio vinginevyo duniani KOTE jibu NI Hilo ....Soma ndg yangu Kama unapenda kusoma acha kusikiliza wanayosema wahubiri NI wengi wapotoshaji... Quran zipo zilizotafsiriwa kwa kiswahili ,tafuta na usome utajaza mengi ya ukweli kuhusu uislamu..
 
na Tz nan aliwafundisha watu kwenda amboni na kibiti ? mna ttzo hkn namna ya kujidefend , popote mlipo hamkubalik kwa tabia yenu ya kutoheshimu iman za watu
mtu yeyote smart hawezi wahusisha waislamu na matukio hayo,siasa NI mchezo mchafu Sana ambao umeweka vivuli vyake mpaka kwenye dini...walikamatwa watu na kupotezwa kisa una ndevu nyingi ama sijda,Rick Ross angepita kwa bahati mbaya kibiti na kanzu masikini angepotea[emoji41]...tufikiri kiutimamu wa fikra sio kwa chuki na mihemuko
 
Unaonekana upo short tempered km waumini wengi huko

Nilisema dubai km sehemu ya mfano mdogo wa nchi za kiarabu ambazo ni jiji lenye wageni wengi pengine kuliko mji mwingne wa kiarabu

Nao kuna mashekh wanapiga vita ujenzi wa makanisa
Dubao zipo dini ngapi? Hebu jibu kwanza naona unaongea pumba sasa
 
Ndio matatizo yenu huanzia hapa mkishakosa jibu mnaanza kuongea kiarabu na uwongo mwingi

Lengo kiongozi wa kidini aliyeamrisha salmon kuuwawa asionekane na makosa

Kiongozi wa kidini ndio picha ya dini hasa yale anayoyafanya public ndio reflection ya dini husika
Kwani kufa kwa Imam ndiyo mwisho wa ibada?

Magufuli alipofariki Afande Sele alirusha clip yake ya huzuni mpaka akaghafilika na kumtusi Mungu.

Mmoja mwa miongoni mwa masheikh nchini Tanzania alicharuka na kumuombea dua mbaya.

Yeye ni kiongozi na ana sehemu yake kwenye jamii lakini jawabu lake lilikuwa sahihi kwa Afande Sele? Hapana! Tulijua Sheikh ana mahaba na Mungu makubwa tu ila nae ameghafilika kutokana na kuona kipenzi wake Mungu kutamkwa vibaya. Ikawa imekwisha hiyo!

Hivyo, kuna mengine yanayosemwa na viongozi kutokana na wao jinsi wanavyolipokea binafsi. Kuna mengine kiongozi anayawasilisha baada ya kukaa shura na wenzake na kutoa tamko la ujumla kwa jamii yake.

Na hali hii hata kwenye siasa inafahamika. Mfano Biden alivyokuwa Poland alisema Putin anapaswa aondolewe madarakani. White House ilikanusha hii taarifa kwa kujibu kuwa huo si msimamo wa WH bali ni wa Biden binafsi.

Tafsiri yake viongozi nao wanateleza! Nao ni binadamu. Muda mwengine wanaghafilika kulingana na uzito wa taarifa wanazozipokea. Ila muhimu kwa Waislamu elimu yao ipo wazi. Na haistaajabishi maamuma kuwa na elimu kubwa zaidi kuliko viongozi wao. Na ndivyo jamii ya Kiislamu ilivyo! Hivyo usishangae wakimkosoa kiongozi wao. Muhimu heshima na kutambua nafasi yake viwemo.

Mungu ndiye mjuzi zaidi.
 
Kila kona ya hii dunia Dini ya kiislamu ni shida. Inapigwa vita na wazungu , wachina na wahindi na shida ni ile ile waislamu wanataka kulazimisha dini yao ifuatwe kwa nguvu kitu ambacho akikubaliki kwa dunia ya saiv ambayo dini ni hiyari ya mtu.
Inajipiga vita Yenyewe mkuu
 
nyie watu mbona hamfikirii!?Russia attacks Ukraine,Hawa wote nadhani waislamu wanawaua waislamu wenzao!!you guys are too blinded na propaganda za hovyo kuhusu uislamu kiasi kwamba hata ya ukristo hayaonekani!!inatia huruma

Nilikuwa namjibu member aliyesema kwamba Waislamu ni wamoja ndiyo nikampa hiyo mifano kwamba kama Waislamu ni wamoja kwa nini Saudi Arabia anatesa Waislamu Yemeni? Kwa nini Saudi Arabia anabomoa nchi ya Kiislamu Somalia na hataki Somali iwe na amani? Labda ungesoma kwanza alichoandika yule niliyemjibu!
 
Ndio matatizo yenu huanzia hapa mkishakosa jibu mnaanza kuongea kiarabu na uwongo mwingi

Lengo kiongozi wa kidini aliyeamrisha salmon kuuwawa asionekane na makosa

Kiongozi wa kidini ndio picha ya dini hasa yale anayoyafanya public ndio reflection ya dini husika

Kipi ambacho kinamfanya mtu avutiwe na maandishi ya mtu hali ya kuwa hawakuzungumza? Yaani mawazo ya mtu yaliyo kwenye maandishi yamemvuta na akawepo kwenye uwepo wake.

Ikiwa hali ya namna hiyo maneno ya kuzungumzwa yana faida gani? Maneno ni kivuli cha reality! Kadri kivuli kitakavyokuvuta kadri utakavyoukaribia ukweli.

Maneno ni pretext. It is the inner bond that draws one person to another, not words. Hata kwako nikifanya miujiza 1000 bado hayatotosheleza ninachokielezea kwako kwa sababu inner bond/connection baina yako na yangu haipo!

Kuna njia 1000 za kupiga magoti na kuibusu ardhi. Kuna njia 1000 za kurudi nyumbani tena! Kuwa kama mti, liache jani kavu lianguke na lenye ubichi limee.

Usihadaiwe na story kuwa mambo yapo hivi na yamekwenda hivi! Unfold your own myth.

Itakuwa ni bora zaidi uusome Uislam si kwa kusilimu bali kwa lengo la kufahamu mwenendo wake upoje na wala si kwa kuwaangalia watu. Hayo yakidiriki kutakuwa na inner connection baina yangu na yako.
 
Unaonekana upo short tempered km waumini wengi huko

Nilisema dubai km sehemu ya mfano mdogo wa nchi za kiarabu ambazo ni jiji lenye wageni wengi pengine kuliko mji mwingne wa kiarabu

Nao kuna mashekh wanapiga vita ujenzi wa makanisa
Jibu swali wewe usirukeruke kama bisi, DUBAI KUNA DINI NGAPI?
 
Mkuu maadui wa uislamu wamefanikiwa kuwa brain wash watu ili watimize malengo yao ayo mambo ya mabikra 72 kupewa baada ya kujiuwa hakuna aya wala adith iliyosahihi inayosema kuhusu ilo..aya mambo yanaenezwa na Jewish wakiungana na West kwa kutumia wana Inteligence wao ambao wana trainiwa then wanaletwa kwenye jamii na kuwa kama viongozi wa dini ya kiislamu kwenye iyo jamii then ndio wanawatafuta vijana wadogo wasiokuwa na elimu ya dini ya kutosha kwa kuwadanganya kuwa wakijilipua basi wakifa wataenda kupewa mabikra 72 ..narudia tena ilo jambo halipo kwenye uislamu kujiuwa tu tayari ni haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ile mifereji inatiririsha pombe na nyama za ndege je?
 
Wahindu , mabudha n.k .msingi wao wa imani ni miungu wa kutengeneza...

Kitu ambacho katu , abadan, asilani, uislamu haikubaliani nacho hata kwa zawadi ya aina gani.....katu , katu,..katu.

Ni sawa na mtu kuifahamu almasi then wajanja fulani wajaribu kushawishi vipande vya chupa..

Hata ukristo imani yao imejengwa ktk kujifurahisha zaidi ...

Sasa nadharia hizo lazima zijenge chuki na uislamu...popote....

Ni sawa na mafuta kulazimisha yachangamane na maji....katu, abadan..
 
Haitotokea kamwe kuvunja makanisa coz wamiliki wa hotel na majengo mengi makubwa ni vigogo kutoka urus na ulaya na wapo wachina na hata wahindi , nikuambie tu wewe kama hujui dubai ipo uarabun but waliowekeza wengi ni kutoka nje ya dubai nenda kipindi cha christmas uone shamrashamra mpaka waarabu wanasherekea christmas eti ndio wavunje kanisa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3] sema makanisa yanaongezeka
mwambie uyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom