Katika karne ya nane Hispania ilikuwa ni moja ya nchi yenye Waislam wengi miongoni mwao wakiwa ni Waarabu, Berbers na wale wazawa waliobadilisha dini wenyewe. Miongo michache baadaye Kadinali Francisco Jiménez de Cisneros alianza kampeni katika mji wa Granada kulazimisha kufuata dini ya Ukristo kwa mateso na kifungo. Uislam ulikomeshwa kwa nguvu kubwa na mauaji makubwa ya halaiki. Ili waishi kwa amani iliwabidi Waislam wabadili dini au waendelee kuabudu katika imani yao kwa siri.
Inatia kichefu chefu kuona mnavyoangaika kubadili history.
Hivi, ni nini hasa kilichondani ya mioyo yenu waislamu?. Kwanini kweli haimo ndani mwenu?.
Hii guts ya kupindisha history ili ku-justfy nia yenu ovu dhidi ya dunia mnaipata wapi?.
Kila nikitafakari kuhusu uislamu, uanzishwa wake na kinachoendelea dunia:-natikisa kichwa najisemea moyoni "acha Yesu awe Mungu" . Founder wa Dini yenu ni Yule baba uwongo na ndiye amewafanya hata nyinyi wafuasi muwe waongo waongo na hamna haya pindi mnapotaka kudanganya kuhusu dini.
Yn 8:44 SUV
Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba uwongo.
Hapa unajaribu kueleza uislamu as if wakazi wa Spain waliposikia habari Muhammad na dini yake mpya wakaslim bila shurti.
Spain imekuwa na wakristo toka hata Muhammad hajawepo dunia na cult yake the same to Morocco, tunisia na misri unalijua ili ila kwasababu ya dini yako inakutaka udanganye katika jambo lolote linahusu dini umeamua kuruka iki kipande muhimu.
Kwasababu hiyo hiyo ya kuongea uwongo ili upate thawabu kwa mungu wako:- hutaki kuongelea wanajihadi walioji-mobilize na kutumia ukingo wa STRAIT OF GIBRALTAR ili kwenda kuislimisha ulaya.
Utaki kuongelea vile majihadist hao walichoma mashua zao ili hasipatikane wa kurudi nyuma kwenye adhima yao ya kwenda kueneza upagani wao ulaya.
Kosa la wakristo wa wakati huo ni kukataa kuvumilia masaghibu ya majihadist ndiyo maana unawaangushia mzigo.. Kwako wewe ulitaka wakristo wawe wiped ama waupokea upagani wa makka.
MMELOGWA.