Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake
Ni mentality slave tu, wala hakuna kingine.

Kwanza hakuna majina ya dini yoyote, Bali ni majina ya mashariki ya kati.

Wakristo wa sehemu hizo hawatumii majina ya kizungu.

Mfano Tareq Aziz vice President wa Saddam Hussein ni Mkristo mkatoliki.
 
Ni kweli kabisa sijasema hawapo, wala sijasema hamna Waislamu wenye majina ya kitamaduni.
Anha sawa. Sasa hapo ni kwamba wao wanapenda dini yao na wanaamin asili yao ni uarabuni ndo maana hawataki kutumia jina la asili kama Shemndolwa utakuta anajiita Said Ahmed Said badala ya Said Ahmed Shemndolwa
 
Back
Top Bottom