Kwanini waislamu hawalalamiki mkatoliki Magufuli kumfanya Rais Samia?

Magufuli na dadake wote misingi yao mibovu.
 
Haukuisikia kauli ya mkuu wa majeshi mara tu baada Magufuli akufariki? Yeye ndiye alihakikisha Samia anashika nafasi.
 
Mfumo wa kikiristo upo pale pale
 
Na hapa tunakosea, kwamba waislam wote wanakubaliana na haya ya Samia? Yaani tunachukua masheikh wachache ndio unahitimisha? Na hili ndio CCM wanataka wakristo muwaone waislam wote wabaya na mgawanyike.

Wana-JF msiingie huu mtego
 

HIVI UNAJUA KUWA, WAISLAM NDIO WALIMTEUA NYERERE (MKATOLIKI) KWENDA KUDAI UHURU PAMOJA NA KUMWEZESHA ILI AWEZE KWENDA? Kama hilo liliwezekana, nini cha ajabu kilichobakia?
MENGINE UTAJIONGEZA MWENYEWE KUWA, BAADA YA NYERERE KUPATA UHURU, NI NINI KILITOKEA......
 
Haya mambo ya udini ya Kiwaki sana ! Hakuna chengine cha kujadili ?
 
Mkipigania haki zenu kwa dhana ya udini , mtafeli pakubwa , hamtashinda kwa lolote kwa dhana ya kipumbavu ya kuleta mpasuko wa kiimani
Tatizo linaanzia pale ambapo wote mkikaa mkaliangalia tatizo nje ya hizo dini mnakubaliana kwamba kweli hili ni tatizo na inabidi liondolewe but linapokuja swali tatizo liondoleweje upande mmoja unaanza kuona upande mwengine unataka tatizo liondolewe kwa sababu anayehisiwa ni tatizo siyo mmoja wao na kwamba wanamchukia kwa sababu ya dini yake.

Ground maisha ni magumu hayaangalii dini kila mtu analia tatizo watu tunashindwa kujua wakati gani tushikamane sisi kwa sisi kwenye hizo dini wakati gani tuvuane hizi dini tuwe normally tuzungumze ya msingi yanayotuhusu.
 
Kuna namna zinapikwa propaganda za kufanya divide and rule na watu wana jaaa kichwa kichwa
 
Acha udini kijana.waislamu walilamika kuhusu mfumo kristo katika utawala wa kikwete na sio magufuli.
 
Acha uchawa na uzwazwa. Nyerere alichaguliwa na wananchi. Na isitoshe, hatuongelei Nyerere hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…