Kwanini waislamu wanamuita malaika mtoa roho "Azrael/Israeli ?

Majina ya kiarabu na kiebrania yanafanana tu , kama Musa , yusuf , Israeli, Israfil sulemani , yakub ,, na nk wala hilo jina halina uhusiano na taifa la Israel is just name tu

Kama vile tu minja wa kikuyu na Minja wa kichaga
 
Ahaha kwasababu umeuliza vzr wacha tukujibu vizuri ndugu
Izrael- hiyo ni ze (za, ze, zi, zo , zu)
Israel- hiyo ni swa(swad)[swa, swe, swi, swo , swu)

So ni tofauti kabisaa.
ok ila yanafanana kwa kiasi kikubwa naona inatofautiana herufi moja, je utofauti wa maana kwenye maneno hayo ni upi ?
 
Majina ya kiarabu na kiebrania yanafanana tu , kama Musa , yusuf , Israeli, Israfil sulemani , yakub ,, na nk wala hilo jina halina uhusiano na taifa la Israel is just name tu

Kama vile tu minja wa kikuyu na Minja wa kichaga
ok ni kwamba imetokea tu coincidence ya kufanana
 
Haijanukuliwa popote pale kwenye nukuu sahihi kuwa Malaika wa kutoa roho anaitwa Israeli, katika Quran ametajwa kwa jina lake "malaika wa mauti" habari za Israeli zimetoka hukohuko kwenye visa vya wayahudi, bali kilichonukuliwa ni kuwa nabii Yaquub amani iwe juu yake ndio anaitwa Israeli na maana yake ni mja wa Allah, na wanawe ndio wana wa Israeli.

P h a r a o h
 
Ahaha kwasababu umeuliza vzr wacha tukujibu vizuri ndugu
Izrael- hiyo ni ze (za, ze, zi, zo , zu)
Israel- hiyo ni swa(swad)[swa, swe, swi, swo , swu)

So ni tofauti kabisaa.

Kwenye Biblia,Quran na vitabu vya hadithi za mtume hawajamtaja Malaika anayetoa roho kwa jina.

Karne nying mbele Vitabu vya kimapokeo ndio vilimtaja kwa jina
Na ni Azrail.

Sio Israel.
 
ni kweli haijanukuliwa katika Quran ila ni mapokeo katika dini ya kiislam, je wewe ni mara ya kwanza keo kusikia "Malaika Israeli Mtoa roho"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…