Kwanini waislamu wanamuita malaika mtoa roho "Azrael/Israeli ?

Kwanini waislamu wanamuita malaika mtoa roho "Azrael/Israeli ?

ni kweli haijanukuliwa katika Quran ila ni mapokeo katika dini ya kiislam, je wewe ni mara ya kwanza keo kusikia "Malaika Israeli Mtoa roho"
Najua sana ila ndo nimekwambia kuwa imetoka katika mapokeo ya wayahudi katika habari zao za zamani, kwenye quran na hadithi hakuna kabisa hilo jina mkuu.

So haisemwi kuwa ni kutoka kwenye mafundisho sahihi ya kiislamu.
 
Back
Top Bottom