Kazakh destroyer JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 4,152 Reaction score 8,631 Mar 15, 2026 #21 P h a r a o h said: ni kweli haijanukuliwa katika Quran ila ni mapokeo katika dini ya kiislam, je wewe ni mara ya kwanza keo kusikia "Malaika Israeli Mtoa roho" Click to expand... Najua sana ila ndo nimekwambia kuwa imetoka katika mapokeo ya wayahudi katika habari zao za zamani, kwenye quran na hadithi hakuna kabisa hilo jina mkuu. So haisemwi kuwa ni kutoka kwenye mafundisho sahihi ya kiislamu.
P h a r a o h said: ni kweli haijanukuliwa katika Quran ila ni mapokeo katika dini ya kiislam, je wewe ni mara ya kwanza keo kusikia "Malaika Israeli Mtoa roho" Click to expand... Najua sana ila ndo nimekwambia kuwa imetoka katika mapokeo ya wayahudi katika habari zao za zamani, kwenye quran na hadithi hakuna kabisa hilo jina mkuu. So haisemwi kuwa ni kutoka kwenye mafundisho sahihi ya kiislamu.