Kwanini wajasiriamali wanapewa mikopo isiyo na riba, lakini wanafunzi wabebeshwa mizigo ya madeni?

Kwanini wajasiriamali wanapewa mikopo isiyo na riba, lakini wanafunzi wabebeshwa mizigo ya madeni?

Mkoba wa Mama

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2021
Posts
280
Reaction score
173
Serikali kupitia Halmashauri inatoa mikopo kwa ajili ya vikundi vya wajasiriamali na mikopo hiyo haina riba wakati ni kwa ajili ya biashara, maana yake wanufaika wanapata faida, lakini mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kwa ajili ya wanafunzi (ambao kwa sasa hawana uhakika wa ajira hapo baadaye) wakati wa kurudisha wanatakiwa walipe riba na deni linaongezeka kadri malipo yanavyochelewa.

Serikali ijitafakari
 
nchi ya kusadikika ndio mtaji wao wa kura feki hao yaani kimsingi hiyo ni rushwa wala sio kitu kingine.
 
Back
Top Bottom