chance za wewe kutoka without formal education ni ndogo sana, almost zero! However chances za kutoka ukiwa na education is much higher, thats why kuna watu wengi wameajiriwa
H
ebu toa ufafanuzi zaidi..
Kwamba watu walioajiriwa ni wengi kuliko waliojiajiri, ama? π€
Formal sector vs Informal sector.?
kiukweli, TZ hapa waliojiajiri ni wengi zaidi kuliko walioajiriwa..
kwa mujibu wa ripoti za National Bureau of Statistics (NBS) na wizara yenye dhamana na Ajira.
FORMAL Sector (sekta rasmi) inazo parts mbili (2) ambazo ni,
1. Public Sector (sekta ya uma)
2. Private Sector (sekta binafsi)
Public Sector (Taasisi za Serikali/uma) mfano: elimu, afya, ulinzi & usalama, ofisi mbalimbali za serikali, n.k, kwa jumla walioajiriwa katika Public Sector hawafiki
11% ya nguvu kazi yote ya TZ.
Private sector ambayo ni sehemu ya sekta rasmi, inabeba karib
18% ya walioajiriwa katika sekta rasmi. Mfano: shule binafsi, hospital binafsi, migodi mikubwa, taasisi kubwa binafsi, makampuni makubwa binafsi, etc.
Informal sector (sekta isiyo rasmi) inabeba zaidi ya
70% ya nguvu kazi yote ya TZ. Na h
ii ndo sekta ya watu waliojiajiri, hapa utakuta wakulima wadogo, wavuvi, wajasiriamali wadogo, mafundi, vibarua, n.k.