Kwani huoni asilimia kubwa ya walimu walivyo duni. Na unajua kabisa serikali inatumia uduni wao kupitisha mambo yake na inawaacha kama walivyoHivi mbona kila mfano duni ni mwalimu
Kwani huoni asilimia kubwa ya walimu walivyo duni. Na unajua kabisa serikali inatumia uduni wao kupitisha mambo yake na inawaacha kama walivyo
Nimeelewa, ila "Elimu kazi yake si kuondoa ujinga ila ni kurithisha maarifa".Elimu kazi yake siyo kuondoa ujinga ila ni kurithisha maarifa mbalimbali kutoka kizazi kimoja hadi kingine, ujinga una mzunguko wake wa asili usiokoma.