Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,258 Reaction score 14,942 Mar 28, 2026 #81 Kutoboa tu ni message tosha kwamba sio mjinga, hayo maGPA ya kukariri yasiyoweza kuwa translated to money ndio ujinga wenyewe, period Hamkutani kwnye dirisha la malipo
Kutoboa tu ni message tosha kwamba sio mjinga, hayo maGPA ya kukariri yasiyoweza kuwa translated to money ndio ujinga wenyewe, period Hamkutani kwnye dirisha la malipo
M Mnanguliti JF-Expert Member Joined Apr 16, 2023 Posts 941 Reaction score 2,759 Mar 28, 2026 #82 Kazanazo said: Hivi mbona kila mfano duni ni mwalimu Click to expand... Kwani huoni asilimia kubwa ya walimu walivyo duni. Na unajua kabisa serikali inatumia uduni wao kupitisha mambo yake na inawaacha kama walivyo
Kazanazo said: Hivi mbona kila mfano duni ni mwalimu Click to expand... Kwani huoni asilimia kubwa ya walimu walivyo duni. Na unajua kabisa serikali inatumia uduni wao kupitisha mambo yake na inawaacha kama walivyo
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,498 Reaction score 14,946 Mar 28, 2026 #83 Mnanguliti said: Kwani huoni asilimia kubwa ya walimu walivyo duni. Na unajua kabisa serikali inatumia uduni wao kupitisha mambo yake na inawaacha kama walivyo Click to expand... Asilimia kubwa ya Watanzania wasio soma ni Duni kuliko walimu. Tena bora walimu wana afadhari wako na bima ya afya, Uhakika wa kusomesha watoto na pension wakizeeka. Ila wale wazazi wetu wasio soma, walio jiajili kwenye kilimo hali ni mbaya sana sana and we all know that.
Mnanguliti said: Kwani huoni asilimia kubwa ya walimu walivyo duni. Na unajua kabisa serikali inatumia uduni wao kupitisha mambo yake na inawaacha kama walivyo Click to expand... Asilimia kubwa ya Watanzania wasio soma ni Duni kuliko walimu. Tena bora walimu wana afadhari wako na bima ya afya, Uhakika wa kusomesha watoto na pension wakizeeka. Ila wale wazazi wetu wasio soma, walio jiajili kwenye kilimo hali ni mbaya sana sana and we all know that.
stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 Mar 28, 2026 #84 great thinker vp ushatoboa?
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 22,502 Reaction score 48,479 Mar 29, 2026 #85 Victor Mlaki said: Elimu kazi yake siyo kuondoa ujinga ila ni kurithisha maarifa mbalimbali kutoka kizazi kimoja hadi kingine, ujinga una mzunguko wake wa asili usiokoma. Click to expand... Nimeelewa, ila "Elimu kazi yake si kuondoa ujinga ila ni kurithisha maarifa". Maarifa ni nini boss? Mtu asiye na maarifa anaitwa nani?
Victor Mlaki said: Elimu kazi yake siyo kuondoa ujinga ila ni kurithisha maarifa mbalimbali kutoka kizazi kimoja hadi kingine, ujinga una mzunguko wake wa asili usiokoma. Click to expand... Nimeelewa, ila "Elimu kazi yake si kuondoa ujinga ila ni kurithisha maarifa". Maarifa ni nini boss? Mtu asiye na maarifa anaitwa nani?