Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Haya bwana.basi mm tofaut ukweli ni huo ninaokwambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bwana.basi mm tofaut ukweli ni huo ninaokwambia
Umenena ukweli kaka kama vile wanifahamu. Booking hiyo! Karibu inaniletea ukichaa! Lakini ajabu sina hiyo chura wanayoipenda!.....if so shukuru kwa ulicho nacho mdada.......... pia na amini hapo ulipo una booking ya kutosha tu ya wanaume .......pia sio ujinga kwa mwanaume kupendezwa na umbo...bali ni kuonesha uhalisia wa kilicho moyoni mwake......myself napenda hitachi........
sa kwa nini mnayaweka wazi mnatuchanganya tukiyana bah.
...cha msing...mdada ni kujikubali tuuu pia na kukubali hitaji la nafsi akooo......,,,ila wadada na wakaka wenzangi kumbukeni afya ni muhimu....Umenena ukweli kaka kama vile wanifahamu. Booking hiyo! Karibu inaniletea ukichaa! Lakini ajabu sina hiyo chura wanayoipenda!
Hahaha! Pretty enigmatic, shade some more light please!
Umejuaje kua tunapenda makalio yenu?
Surgery [emoji12]na sisi flatscreen twende wapi mbona mnatunyanyasa [emoji134]
siwezi kumkufuru Mungu tofaut na alivyoniumba nimeridhika na uflat screen wanguSurgery [emoji12]
Sio kweli. Shunie wote naowajua mimi, wana maumbo ya wastani na figure bomba sana.