Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

Biashara tofauti na chakula kipindi hiki lazima idode,hakika bajeti ya chakula kipindi cha Ramadhani ni kubwa kulinganisha na kipindi ambacho watu hawajafunga kwaiyo pesa wanayopata wanatumia kujilisha vinono majumbani, mfungo ukiishaisha mwishoni basi jua biashara yanguo ndio itakuwa inawateja maandalizi ya sikukuu ya Idd
 
Kitimoto ndio inadoda kabisa
Sijui shida nini na biashara hii
 
Ah wapi?!!!,pilipili ale mwingine kuwashwa niwashwe mimi,hicho kitu hakipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww jamaa unavopenda mada za dini hongera ila punguza kuropoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapoimgia mwezi mtukufu wa Ramadan, shetani na watumishi wake wote hufungwa minyororo hivyo basi wanakuwa hawana uwezo wa kuwashawishi watu kutenda dhambi (mfano, kunywa pombe, kula ngurue, vigodoro nk)

Wachache wanaoendelea kufanya dhambi ni wale mioyo yao ishakuwa meusi (kwa maovu waliyofanya) na hawa shetani huwa hadili nao saana (au kabisa) kwakuwa washakuwa waja wake wakudumu.
 
We jamaa unaujua ukweli lkn naona unaupindisha.Sawa endelea na mpango wako wa kupindisha mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea waislam gani kwani kama kweli una akili timamu?
Akili zangu zipo timamu,labda km zako hazipo sawa kiasi cha kubishana na mtu asiye na akili timamu.Kwani kuna aina za Waislamu?.

Na hata km zipo wote kwao kitimoto si haramu?,lkn pia wote si wanapaswa kufunga ramadhani?,lkn pia ktk hao wote si wamo mabingwa wa kumtafuna huyu mdudu ?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna waislam wa aina mbili
1.Waislam jina(Munafikuna)
2.Waislam waumini

1.Hawa wanamajina ya kiislam pia hutenda kama watendavyo waislam wakiwa mbele ya waislam wenzao au watu wanaofahamu kuwa wao ni waislam hawa huogopa zaidi macho ya watu kuliko Allah

2.Waumini ni waule waaminio hata wakiwa peke yao hutenda kwa kufuata sheria na taratibu za kiislam kwa kumtii Allah
Nadhani kama wewe ni muumini wa kikristo utakuwa umeelewa. Ila kama nawe ni mnafki huwezi elewa
Rejea nzuri kwako ni ile isemayo "Si kila aitae bwana atauona ufalme wa mbingu....... "
 
Asante kwa ufafanuzi,kwa hiyo kati hao ni kundi lipi wanaomtafuna mdudu kitimoto??.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…