Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

Biashara tofauti na chakula kipindi hiki lazima idode,hakika bajeti ya chakula kipindi cha Ramadhani ni kubwa kulinganisha na kipindi ambacho watu hawajafunga kwaiyo pesa wanayopata wanatumia kujilisha vinono majumbani, mfungo ukiishaisha mwishoni basi jua biashara yanguo ndio itakuwa inawateja maandalizi ya sikukuu ya Idd
 
Kitimoto ndio inadoda kabisa
Sijui shida nini na biashara hii
Bhandugu,

Kam kichwa kinavyosema.

Hivi ni kwanini kipindi cha mfungo biashara mbalimbali (isipokuwa zinazohusika kutengeneza futari) huwa zinakwenda vibaya? Yaani nenda bar mambo huwa sio shwari kabisa, nenda kule kwa mkuu wa meza huko ni kulala siku mbili na kuendelea, sijui ni kwanini?.

Cha ajabu baada ya mfungo kuisha mambo huwa yanakuwa bam! bam! Yaani mimi sijui ni kwanini hebu tupeana elimu ni kwanini inakuwa hivyo?

Karibuni sana wadau: Matusi, kejeli, dharau, havina nafasi km una hasira vaa barakoa nawa mikono kwa maji na sabuni zitaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo wanaheshimu sana imani za wengine ndio maana hata ikifika mfungo wanaacha kwenda bar ili kuwapa wenzao nafasi ya kufunga kusiwe na ushawishi, tunapunguza ulaji migahawani ili wenzetu wasipate ushawishi kuharibu funga zao...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ah wapi?!!!,pilipili ale mwingine kuwashwa niwashwe mimi,hicho kitu hakipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maweeee!
65% ya Watanzania ni Wakristo. Uko dunia gani wewe?

waislamu ni rahisi kuwafanyia sensa kuliko unavyofikiri, mna maeneo yenu mmejazana (sitayataja) ukifika hadi unaboeka yani unahisi uko Somalia.

Mwanza inakadiriwa kuwa na watu million 2 na point alafu laki sita ni wakatoliki tu sasa jiulize madhehebu mengine yana wangapi na imani yako ina wangapi
Ww jamaa unavopenda mada za dini hongera ila punguza kuropoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapoimgia mwezi mtukufu wa Ramadan, shetani na watumishi wake wote hufungwa minyororo hivyo basi wanakuwa hawana uwezo wa kuwashawishi watu kutenda dhambi (mfano, kunywa pombe, kula ngurue, vigodoro nk)

Wachache wanaoendelea kufanya dhambi ni wale mioyo yao ishakuwa meusi (kwa maovu waliyofanya) na hawa shetani huwa hadili nao saana (au kabisa) kwakuwa washakuwa waja wake wakudumu.
 
We jamaa unaujua ukweli lkn naona unaupindisha.Sawa endelea na mpango wako wa kupindisha mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea waislam gani kwani kama kweli una akili timamu?
Akili zangu zipo timamu,labda km zako hazipo sawa kiasi cha kubishana na mtu asiye na akili timamu.Kwani kuna aina za Waislamu?.

Na hata km zipo wote kwao kitimoto si haramu?,lkn pia wote si wanapaswa kufunga ramadhani?,lkn pia ktk hao wote si wamo mabingwa wa kumtafuna huyu mdudu ?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili zangu zipo timamu,labda km zako hazipo sawa kiasi cha kubishana na mtu asiye na akili timamu.Kwani kuna aina za Waislamu?. Na hata km zipo wote kwao kitimoto si haramu?,lkn pia wote si wanapaswa kufunga ramadhani?,lkn pia ktk hao wote si wamo mabingwa wa kumtafuna huyu mdudu ?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna waislam wa aina mbili
1.Waislam jina(Munafikuna)
2.Waislam waumini

1.Hawa wanamajina ya kiislam pia hutenda kama watendavyo waislam wakiwa mbele ya waislam wenzao au watu wanaofahamu kuwa wao ni waislam hawa huogopa zaidi macho ya watu kuliko Allah

2.Waumini ni waule waaminio hata wakiwa peke yao hutenda kwa kufuata sheria na taratibu za kiislam kwa kumtii Allah
Nadhani kama wewe ni muumini wa kikristo utakuwa umeelewa. Ila kama nawe ni mnafki huwezi elewa
Rejea nzuri kwako ni ile isemayo "Si kila aitae bwana atauona ufalme wa mbingu....... "
 
Asante kwa ufafanuzi,kwa hiyo kati hao ni kundi lipi wanaomtafuna mdudu kitimoto??.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom