Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kna uusiano gani sasa
Hapana mkuu,mimi nawapenda hawa ndugu zangu,sema hapa nilikuwa nauliza tu,ili kujua.
Bhandugu,
Kam kichwa kinavyosema.
Hivi ni kwanini kipindi cha mfungo biashara mbalimbali (isipokuwa zinazohusika kutengeneza futari) huwa zinakwenda vibaya? Yaani nenda bar mambo huwa sio shwari kabisa, nenda kule kwa mkuu wa meza huko ni kulala siku mbili na kuendelea, sijui ni kwanini?.
Cha ajabu baada ya mfungo kuisha mambo huwa yanakuwa bam! bam! Yaani mimi sijui ni kwanini hebu tupeana elimu ni kwanini inakuwa hivyo?
Karibuni sana wadau: Matusi, kejeli, dharau, havina nafasi km una hasira vaa barakoa nawa mikono kwa maji na sabuni zitaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana wanaofunga ndio huwa walaji wakubwa wa hii bidhaa,kwa hiyo sasa walaji wamebaki wachache sana.Kitimoto ndio inadoda kabisa
Sijui shida nini na biashara hii
Sasa kwanini idolole maeneo yenye waislamu wengi?.Tukisema wanakula kitimoto mbona huwa wanakuwa wakali?.
Ah wapi?!!!,pilipili ale mwingine kuwashwa niwashwe mimi,hicho kitu hakipo.Wakristo wanaheshimu sana imani za wengine ndio maana hata ikifika mfungo wanaacha kwenda bar ili kuwapa wenzao nafasi ya kufunga kusiwe na ushawishi, tunapunguza ulaji migahawani ili wenzetu wasipate ushawishi kuharibu funga zao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww jamaa unavopenda mada za dini hongera ila punguza kuropokaMaweeee!
65% ya Watanzania ni Wakristo. Uko dunia gani wewe?
waislamu ni rahisi kuwafanyia sensa kuliko unavyofikiri, mna maeneo yenu mmejazana (sitayataja) ukifika hadi unaboeka yani unahisi uko Somalia.
Mwanza inakadiriwa kuwa na watu million 2 na point alafu laki sita ni wakatoliki tu sasa jiulize madhehebu mengine yana wangapi na imani yako ina wangapi
We jamaa unaujua ukweli lkn naona unaupindisha.Sawa endelea na mpango wako wa kupindisha mambo.Inapoimgia mwezi mtukufu wa Ramadan, shetani na watumishi wake wote hufungwa minyororo hivyo basi wanakuwa hawana uwezo wa kuwashawishi watu kutenda dhambi (mfano, kunywa pombe, kula ngurue, vigodoro nk)
Wachache wanaoendelea kufanya dhambi ni wale mioyo yao ishakuwa meusi (kwa maovu waliyofanya) na hawa shetani huwa hadili nao saana (au kabisa) kwakuwa washakuwa waja wake wakudumu.
Unaongelea waislam gani kwani kama kweli una akili timamu?Sasa kwanini baada ya mfungo biashara inakuwa nzuri?,Je,waislamu ndo watafunaji wazuri wa kitimoto?,je waislamu ndo wanywaji wazuri wa pombe kuliko sisi watu wengine?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya kapige madufu
Akili zangu zipo timamu,labda km zako hazipo sawa kiasi cha kubishana na mtu asiye na akili timamu.Kwani kuna aina za Waislamu?.Unaongelea waislam gani kwani kama kweli una akili timamu?
Kuna waislam wa aina mbiliAkili zangu zipo timamu,labda km zako hazipo sawa kiasi cha kubishana na mtu asiye na akili timamu.Kwani kuna aina za Waislamu?. Na hata km zipo wote kwao kitimoto si haramu?,lkn pia wote si wanapaswa kufunga ramadhani?,lkn pia ktk hao wote si wamo mabingwa wa kumtafuna huyu mdudu ?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ufafanuzi,kwa hiyo kati hao ni kundi lipi wanaomtafuna mdudu kitimoto??.Kuna waislam wa aina mbili
1.Waislam jina(Munafikuna)
2.Waislam waumini
1.Hawa wanamajina ya kiislam pia hutenda kama watendavyo waislam wakiwa mbele ya waislam wenzao au watu wanaofahamu kuwa wao ni waislam hawa huogopa zaidi macho ya watu kuliko Allah
2.Waumini ni waule waaminio hata wakiwa peke yao hutenda kwa kufuata sheria na taratibu za kiislam kwa kumtii Allah
Nadhani kama wewe ni muumini wa kikristo utakuwa umeelewa. Ila kama nawe ni mnafki huwezi elewa
Rejea nzuri kwako ni ile isemayo "Si kila aitae bwana atauona ufalme wa mbingu....... "