Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

Bhandugu,

Kam kichwa kinavyosema.

Hivi ni kwanini kipindi cha mfungo biashara mbalimbali (isipokuwa zinazohusika kutengeneza futari) huwa zinakwenda vibaya? Yaani nenda bar mambo huwa sio shwari kabisa, nenda kule kwa mkuu wa meza huko ni kulala siku mbili na kuendelea, sijui ni kwanini?.

Cha ajabu baada ya mfungo kuisha mambo huwa yanakuwa bam! bam! Yaani mimi sijui ni kwanini hebu tupeana elimu ni kwanini inakuwa hivyo?

Karibuni sana wadau: Matusi, kejeli, dharau, havina nafasi km una hasira vaa barakoa nawa mikono kwa maji na sabuni zitaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Biashara za kitimoto na guest house ni ngumu mno wakati wa Ramadhan.
 
Wakristo wanaheshimu sana imani za wengine ndio maana hata ikifika mfungo wanaacha kwenda bar ili kuwapa wenzao nafasi ya kufunga kusiwe na ushawishi, tunapunguza ulaji migahawani ili wenzetu wasipate ushawishi kuharibu funga zao...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitegemea jibu kama hili! Kimsingi ni heshima tu ya kibinadamu.
 
Bhandugu,

Kam kichwa kinavyosema.

Hivi ni kwanini kipindi cha mfungo biashara mbalimbali (isipokuwa zinazohusika kutengeneza futari) huwa zinakwenda vibaya? Yaani nenda bar mambo huwa sio shwari kabisa, nenda kule kwa mkuu wa meza huko ni kulala siku mbili na kuendelea, sijui ni kwanini?.

Cha ajabu baada ya mfungo kuisha mambo huwa yanakuwa bam! bam! Yaani mimi sijui ni kwanini hebu tupeana elimu ni kwanini inakuwa hivyo?

Karibuni sana wadau: Matusi, kejeli, dharau, havina nafasi km una hasira vaa barakoa nawa mikono kwa maji na sabuni zitaisha.

By 2018 kwa sensa inayofanywa na makanisa yenyewe ili kujua waumini wao ni wangapi na ni very easy kujua.

Wakatoliki na Walutheri walikuwa zaidi ya 20 million na Mbatia alisema hili hadharani.

Imenilazimu nipitie comment zote mpaka mwisho ili niijue dhamira ya dhati ya mwanzisha uzi.

Baada ya kuona ni hoja za kitoto na hata akipewa hoja za msingi anazipiga teke ilimladi anogeshe uzi 😅😅😅😅 nikaamua kutupa kuleeeeeee.

Ila kiukweli nimevuti saana na mdau hapo DeWitt J ambae ameongea kitakwimu saana...sisi waislamu tunasema MAASHALLAH umeongea vizuri.

Binafsi kuna siku nilikuwa napitia takwimu za wafuasi wa dini (kuna presentation nilikuwa naandaa) baada ya kupekenyua maeneo mbali mbali nikaona wwbsite flan hv ikinionesha waislam tanzania wapo asilimia 29.8%. Nikashtuka na kuamua kufatilia physically na kuwauliza baadhi ya watu wafuatiliaji wa mambo na wenye kupenda sana kudai usawi wa kifursa baina ya dini hizi mbili zinazokaribiana.

Wengi wao waliniambia kuwa waislamu tupo asilimia 65% nilipouliza hii data umeitoa wapi!!? Wengi hawakuweza kunijibu, ila sikukata tamaa nikaendelea kichimba mtandaoni nikagundua takwimu ambazo mashekhe wengi wanazitoa ni zile za sensa ya mwaka 1957.

Nikaona hapa kuna haja kuwaokoa na aibu masheikh wangu ili siku na siku wakiulizwa wawe na takwimu...nikafatilia mtaoni zaidi nikapata tawimu za aina tatu zinazo karibia 29.8% , 30% , 32-35%..nikasema wacha na mie niingie kwenye utafiti.

april 2018 nikaingia kwenye utafiti rasmi. Nikaanda sample zangu 9 mpaka sasa nishamaliza sample 6 kuzipitia mpaka sasa nmeibuka na matokeo kuwa waislamu tanzania tupo 29 - 32% labda sijajua hizo sample 3 zilizobaki zitanipa majibu gani.

Yaani kwa sasa nikiwaambiaga waislamu tupo asilimia hzo wananiona kama nimekengeuka. Na uzuri utafiti huu ipo kiwilaya na kimkoa..kwahyo ukisema mkoa fulani una waislamu asiliamia ngap nakuambia nikiwa na uhakika wa hali ya juu.

Mfano jamaa DeWitt J Amezungumzia kuhusu kigoma. Kigoma waislami wapo wilaya ya kigoma mjini pekee ambapo ni 56% pekee ila ukienda huko kasulu, kibondo, manyovu ni asilimia 13% , 9.2% , 6% mtawaliwa.

Na nitamdaa jarida na nitawapatia bakwata na taasisi zote kubwa za kiislamu na sababu za kushuka kwa kwa hizo asilimia kutoka 65% mpaka ~32%

Na kuhusu ukweli wa hiyo 65% ya mwaka 1957 nipo katika kufuatilia ila nimepata kuambuwa nawenzangu jamaa yangu (mkristo) kuwa nyuma ya hapo waislamu walikuwa 75% kulingana na takwimu za kanisa katoliki. Nitafatilia.
 
Imenilazimu nipitie comment zote mpaka mwisho ili niijue dhamira ya dhati ya mwanzisha uzi.

Baada ya kuona ni hoja za kitoto na hata akipewa hoja za msingi anazipiga teke ilimladi anogeshe uzi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nikaamua kutupa kuleeeeeee.

Mjukuu wa mtume majini hayajambo??.Hivi huwa mna funga au mnabadilisha tu ratiba ya kula?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjukuu wa mtume majini hayajambo??.Hivi huwa mna funga au mnabadilisha tu ratiba ya kula?

😅😅😅😅 mjukuu wa mtume teena!!? Haya bwana...japo mie muha wa kigoma, mtume nahusiana nae kwenye imani pekee.

Kuhusu majini hayo 😅😅😅 siweji kuwa hayajambo au la!!? Kwasababu binafsi yangu siyafungi na kwa utamaduni wa waislamu anaeyafuga amekufuru (ameenda kinyume na uislamu) hata awe nani hata awe sheikh wa aina gani..atakuwa ameenda kinyume na uislamu. (Kupitia maandiko)

Kuhusu kufunga daaahhhh 😅😅😅😅 falsafa ya funga ni pana saana na lengo la funga sio kukaa na njaa...ndo maana mtu akiwa hawezi kufunga kwa maradhi au adha ya safari anaruhusiwa kuachia na kulipa kipindi kingine au kutoa fidia (kulisha maskini) kwahyo ndugu yangu, lengo la funga sio kushinda na njaa.

Kwakuwa lengo sio kushinda na njaa, hata kama km tunabadilisha ratiba ya kula sawa..kikubwa lengo la funga lifikiwe.
 
Halafu bwana CHAULA RICH kwani kubadilisha ratiba ya chakula kwa ajili ya kutii agizo la kiimani kuna shida!!? 😅😅😅
 
Halafu bwana CHAULA RICH kwani kubadilisha ratiba ya chakula kwa ajili ya kutii agizo la kiimani kuna shida!!? [emoji28][emoji28][emoji28]
Ee shida ipo.Maana yake unakuwa haujafunga bali umebadilisha tu ratiba ya mlo,Badala ya kula mchana(yaani chai ya asubuhi,chakula cha mchana na chakula cha jioni)_wewe unakula misosi hiyo usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenilazimu nipitie comment zote mpaka mwisho ili niijue dhamira ya dhati ya mwanzisha uzi.

Baada ya kuona ni hoja za kitoto na hata akipewa hoja za msingi anazipiga teke ilimladi anogeshe uzi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nikaamua kutupa kuleeeeeee.

Ila kiukweli nimevuti saana na mdau hapo DeWitt J ambae ameongea kitakwimu saana...sisi waislamu tunasema MAASHALLAH umeongea vizuri.

Binafsi kuna siku nilikuwa napitia takwimu za wafuasi wa dini (kuna presentation nilikuwa naandaa) baada ya kupekenyua maeneo mbali mbali nikaona wwbsite flan hv ikinionesha waislam tanzania wapo asilimia 29.8%. Nikashtuka na kuamua kufatilia physically na kuwauliza baadhi ya watu wafuatiliaji wa mambo na wenye kupenda sana kudai usawi wa kifursa baina ya dini hizi mbili zinazokaribiana.

Wengi wao waliniambia kuwa waislamu tupo asilimia 65% nilipouliza hii data umeitoa wapi!!? Wengi hawakuweza kunijibu, ila sikukata tamaa nikaendelea kichimba mtandaoni nikagundua takwimu ambazo mashekhe wengi wanazitoa ni zile za sensa ya mwaka 1957.

Nikaona hapa kuna haja kuwaokoa na aibu masheikh wangu ili siku na siku wakiulizwa wawe na takwimu...nikafatilia mtaoni zaidi nikapata tawimu za aina tatu zinazo karibia 29.8% , 30% , 32-35%..nikasema wacha na mie niingie kwenye utafiti.

april 2018 nikaingia kwenye utafiti rasmi. Nikaanda sample zangu 9 mpaka sasa nishamaliza sample 6 kuzipitia mpaka sasa nmeibuka na matokeo kuwa waislamu tanzania tupo 29 - 32% labda sijajua hizo sample 3 zilizobaki zitanipa majibu gani.

Yaani kwa sasa nikiwaambiaga waislamu tupo asilimia hzo wananiona kama nimekengeuka. Na uzuri utafiti huu ipo kiwilaya na kimkoa..kwahyo ukisema mkoa fulani una waislamu asiliamia ngap nakuambia nikiwa na uhakika wa hali ya juu.

Mfano jamaa DeWitt J Amezungumzia kuhusu kigoma. Kigoma waislami wapo wilaya ya kigoma mjini pekee ambapo ni 56% pekee ila ukienda huko kasulu, kibondo, manyovu ni asilimia 13% , 9.2% , 6% mtawaliwa.

Na nitamdaa jarida na nitawapatia bakwata na taasisi zote kubwa za kiislamu na sababu za kushuka kwa kwa hizo asilimia kutoka 65% mpaka ~32%

Na kuhusu ukweli wa hiyo 65% ya mwaka 1957 nipo katika kufuatilia ila nimepata kuambuwa nawenzangu jamaa yangu (mkristo) kuwa nyuma ya hapo waislamu walikuwa 75% kulingana na takwimu za kanisa katoliki. Nitafatilia.

Huu ni uwongo uliokomaa,Hivi kweli Kigoma mjini kuwe na Waislamu wote hao?!!!.Leta source ya takwimu zako,Kuhusu kuandaa jarida we andaa tu lkn ninachojua utaandika uongo,na kuhusu uongo Waislamu mmeruhusiwa ktk kitabu kiitwacho "Ukweli mwaminifu", juzuu ya nne.

Sehemu hiyo inampa ruhusa Muislamu yeyote kutumia uongo kwa lengo la kuutetea uislamu au kumtetea muislamu mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kipindi cha mfungo wa ramadhani, ibilisi anaeshawishi wanadamu na majini kutenda maovu huwa anakamatwa na kufungwa minyororo, hivyo jambo ovu lolote utakalolifanya katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa ramadhani inakuwa ni nafsi yako ndio imekutuma bila ya uwepo wa ushawishi wa ibilisi.

Na ndio maana basi, katika kipindi hiki, mtu akitaka kwenda bar, kulewa anajishtukia, ibilisi angekuwepo angemwambia "una kiu ujue lakini, kapige moja tu" unapata nguvu unaenda. Na hapa haijalishi dini ya mtu huyo, ibilisi ni mmoja, anaemshawishi muislamu aibe ndio huyohuyo anemshawishi mkristo azini.

So kudorora kwa vitu vya haramu ni matokeo ya kishawishi kuzuiliwa. Huachiliwa ile siku mwezi unapotoka ambapo kesho yake huwa sikukuu ya eid. Akiachiwa sasa, wale ambao mwezi mtukufu umewasaidia kunyanyua imani zao, basi huendelea kumwabudu Mungu, wale ambao hakuna walichojifunza ndio hao huenda kujazana bar na club na kwenye magesti wanakata kiu ya muda mreeeeeeeefu.
Mungu anajua zaidi.
 
Katika kipindi cha mfungo wa ramadhani, ibilisi anaeshawishi wanadamu na majini kutenda maovu huwa anakamatwa na kufungwa minyororo, hivyo jambo ovu lolote utakalolifanya katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa ramadhani inakuwa ni nafsi yako ndio imekutuma bila ya uwepo wa ushawishi wa ibilisi. Na ndio maana basi, katika kipindi hiki, mtu akitaka kwenda bar, kulewa anajishtukia, ibilisi angekuwepo angemwambia "una kiu ujue lakini, kapige moja tu" unapata nguvu unaenda. Na hapa haijalishi dini ya mtu huyo, ibilisi ni mmoja, anaemshawishi muislamu aibe ndio huyohuyo anemshawishi mkristo azini. So kudorora kwa vitu vya haramu ni matokeo ya kishawishi kuzuiliwa. Huachiliwa ile siku mwezi unapotoka ambapo kesho yake huwa sikukuu ya eid. Akiachiwa sasa, wale ambao mwezi mtukufu umewasaidia kunyanyua imani zao, basi huendelea kumwabudu Mungu, wale ambao hakuna walichojifunza ndio hao huenda kujazana bar na club na kwenye magesti wanakata kiu ya muda mreeeeeeeefu.
Mungu anajua zaidi.
Kwa hiyo baada ya mfungo anafunguliwa??.Dah hoja ya kitoto sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom