Kaza mdomo huo, kuluhani ndio nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaza mdomo huo, kuluhani ndio nini?
Huu utakuwa ni utafiti uliokidhi vigezo vyote vya utafiti. Kwahyo hapo nitakuwa nimewafunga mdomo waropokaji kama nyie.Huu ni uwongo uliokomaa,Hivi kweli Kigoma mjini kuwe na Waislamu wote hao?!!!.Leta source ya takwimu zako,Kuhusu kuandaa jarida we andaa tu lkn ninachojua utaandika uongo,na kuhusu uongo Waislamu mmeruhusiwa ktk kitabu kiitwacho "Ukweli mwaminifu", juzuu ya nne
Karibu.Huu utakuwa ni utafiti uliokidhi vigezo vyote vya utafiti. Kwahyo hapo nitakuwa nimewafunga mdomo waropokaji kama nyie.
UTAFITI UNAPINGWA KWA UTAFITI. Itakulazimu na wewe ufanye utafiti kama utaweza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] utafiti kwa maana ya utafiti na uweke wazi methodology zako
Ukienda Wikipedia utaona wameandika Tanzania Wakristo ni 65% na Waislamu ni 35% mimi na wewe hatuwezi kujua hizo data wametoa wapi.Imenilazimu nipitie comment zote mpaka mwisho ili niijue dhamira ya dhati ya mwanzisha uzi.
Baada ya kuona ni hoja za kitoto na hata akipewa hoja za msingi anazipiga teke ilimladi anogeshe uzi 😅😅😅😅 nikaamua kutupa kuleeeeeee.
Ila kiukweli nimevuti saana na mdau hapo DeWitt J ambae ameongea kitakwimu saana...sisi waislamu tunasema MAASHALLAH umeongea vizuri.
Binafsi kuna siku nilikuwa napitia takwimu za wafuasi wa dini (kuna presentation nilikuwa naandaa) baada ya kupekenyua maeneo mbali mbali nikaona wwbsite flan hv ikinionesha waislam tanzania wapo asilimia 29.8%. Nikashtuka na kuamua kufatilia physically na kuwauliza baadhi ya watu wafuatiliaji wa mambo na wenye kupenda sana kudai usawi wa kifursa baina ya dini hizi mbili zinazokaribiana.
Wengi wao waliniambia kuwa waislamu tupo asilimia 65% nilipouliza hii data umeitoa wapi!!? Wengi hawakuweza kunijibu, ila sikukata tamaa nikaendelea kichimba mtandaoni nikagundua takwimu ambazo mashekhe wengi wanazitoa ni zile za sensa ya mwaka 1957.
Nikaona hapa kuna haja kuwaokoa na aibu masheikh wangu ili siku na siku wakiulizwa wawe na takwimu...nikafatilia mtaoni zaidi nikapata tawimu za aina tatu zinazo karibia 29.8% , 30% , 32-35%..nikasema wacha na mie niingie kwenye utafiti.
april 2018 nikaingia kwenye utafiti rasmi. Nikaanda sample zangu 9 mpaka sasa nishamaliza sample 6 kuzipitia mpaka sasa nmeibuka na matokeo kuwa waislamu tanzania tupo 29 - 32% labda sijajua hizo sample 3 zilizobaki zitanipa majibu gani.
Yaani kwa sasa nikiwaambiaga waislamu tupo asilimia hzo wananiona kama nimekengeuka. Na uzuri utafiti huu ipo kiwilaya na kimkoa..kwahyo ukisema mkoa fulani una waislamu asiliamia ngap nakuambia nikiwa na uhakika wa hali ya juu.
Mfano jamaa DeWitt J Amezungumzia kuhusu kigoma. Kigoma waislami wapo wilaya ya kigoma mjini pekee ambapo ni 56% pekee ila ukienda huko kasulu, kibondo, manyovu ni asilimia 13% , 9.2% , 6% mtawaliwa.
Na nitamdaa jarida na nitawapatia bakwata na taasisi zote kubwa za kiislamu na sababu za kushuka kwa kwa hizo asilimia kutoka 65% mpaka ~32%
Na kuhusu ukweli wa hiyo 65% ya mwaka 1957 nipo katika kufuatilia ila nimepata kuambuwa nawenzangu jamaa yangu (mkristo) kuwa nyuma ya hapo waislamu walikuwa 75% kulingana na takwimu za kanisa katoliki. Nitafatilia.
Sure.Ukienda Wikipedia utaona wameandika Tanzania Wakristo ni 65% na Waislamu ni 35% mimi na wewe hatuwezi kujua hizo data wametoa wapi.
Nilitoa mfano rahisi wa uwepo wa waumini wa KKKT na Katoliki wapatao million 20 kwa mwaka 2018 waliosemwa na Mbatia Bungeni, nami nilipata tabu kama wewe kajuaje?
Kumbe ni very easy hata huumizi kichwa unachukua idadi ya Waumini wa Kikatoliki na Kilutheri kila Jimbo unapata jibu.
Wewe unaepinga ndo unatakiwa ulete ushahidi ili uniprov wrongHuu ni uwongo uliokomaa,Hivi kweli Kigoma mjini kuwe na Waislamu wote hao?!!!.Leta source ya takwimu zako,Kuhusu kuandaa jarida we andaa tu lkn ninachojua utaandika uongo,na kuhusu uongo Waislamu mmeruhusiwa ktk kitabu kiitwacho "Ukweli mwaminifu", juzuu ya nne.
Umenielewa nilichoandika lkn?Wewe unaepinga ndo unatakiwa ulete ushahidi ili uniprov wrong
Ukienda Wikipedia utaona wameandika Tanzania Wakristo ni 65% na Waislamu ni 35% mimi na wewe hatuwezi kujua hizo data wametoa wap
Umenielewa nilichoandika lkn?
Tatizo ni dogo tu, imani yenu kuna maeneo imejikita na kuota mizizi na hayo maeneo kuna mambo ya ajabu sana na maendeleo hakuna.Ohh kumbe wikipedia wanasema hvyo..ila mie utafiti wangu mpaka sasa unasema ni 29 - 32%...ila at that time 1957 mpaka around 90'S waislam walikuwa ni wengi zaidi ya asilimia 60%
Hapa ndo maana nasema lazima waislam watafute sababu kipi kimeshusha hizo asilimia zishuke mpaka kufikia huko
Na kiuhalisia waslamu ni ngum kubadili dini ila nadhani wakristo walivyoingia walijikita zaidi kuwalingania wapagani (wasio na dini) waingie kwenye ukristo ilihali waislam wakiwa wametulia na kuridhika na asilimia zao. Baada ya mda wakristo wakaongezeka na waislam wakabaki walewale finally percent ya wakirsto ikawa kubwa
Kama umewahi kufika Mtwara na wilaya zake utakuwa shuhuda Waislamuni wengi sana na wanaoleta uchangamfu wa kibiashara si wenyeji wa pale. Hata Tabora mjini na Lindi pia umwinyi na udini uliopindukia unadumaza sana maendeleo.
Hakuna anayetaka kuitia dosari imani yako, najua unafahamu kuwa Ukristo hautegemei kuikosoa, kuitukana wala kuifanya chochote imani nyingine yoyote ili wenyewe uendelee au uungwe mkono na wengi.Hilo ulisemalo ni lakweli... lakini bado haliitii dosari hii imani..hilo ni suala la kimapokeo tu. Kumbuka uislam ulipoingia barani afrika haukuletwa na wajuzi wa dini bali wafanya biashara...hii ikapelekea uislam uhusishwe na vitu kadhaa mfano utumwa. Ila kiuhalisia uislam upo mbali na vitu hvyo. Kuna baadhi ya tamaduni za kiarabu zimejikuta zinaeleweka kama misingi ya uislam wakati ni kinyume kabsa na uislam upo mbali n vitu hvyo. Mfano kupiga ramli, kusoma nyota, hizo habari za kufuga majini CHAULA RICH yote hayo ni mambo ambayo yapo mbali na uislam na ni mambo ambayo yanadumaza uchumi ila kwa uhaba wa ufaham wengi waislam wamejkuta wakiyaamini km sehem ya imani (japo ukiwauliza marejeo ya kimaandiko hawana) na unakuta yamejkita zaidi kwenye maeneo ambayo uislamu ulianza kufika.
Kiufupi sisi waislam ambao tunauono wa kisomi na tumeousama uislam halisi bila kuchanganya uarabu i can say "WE HAVE MANY THING TO DO"
Mimi leo hii nikisilimu ni big story nitatangazwa mtaa mzima na hata kwenye tv za kiislamu, na itanibidi kuanza kuzungumza mabaya dhidi ya Wakristo ili niwavute kama ilivyo desturi yenu. Utakua shahidi katika makanisa ya kina Mwamposa, Suguye n.k wanapata waislamu wengi sana na wanabadili dini wao wenyewe bila hata kuambiwa wala kushawishiwa na hakuna anayezungumzia, kujisifia wala kuwatangaza kwenye media zao.
Uislamu unategemea na iko toka enzi za muasisi wake kwamba Ukristo na Uyahudi ufe ama upungue ili wenyewe ukue.
Hawanaga akili Hawa watu,yaani kuhangaika kote kuanzisha uzi lengo Ni kiti Moto,na hizi nyuzi zinatokea a kila mwaka Leo mwaka wa 20 sasaHili ndio swali lako la msingi, kwengine umezunguka.
Ni makosa? Pitia page moja ya Facebook inaitwa USA Muslims kisha uje utueleze hapa wanachokifanya si sahihi.Mbona kama umeongea kinyume. Habari za ushuhuda zipo makanisani..sisi ni katazo kubwa mtu kunadi upotevu baada ya kuongoka. (Kuwa katika njia ya haki)
Hiyo ya mtu kubadili dini na kwenda Kanisani amevaa kanzu wala Biblia haijakataza wala kuzungumzia lolote kuhusu mtu kutoka imani moja kwenda nyingine.Tukiamua kumwaga mifano hapa mbona utabaki huna mfano kwa upande wetu. Ila kwenu nyie daaahh ajabu sasa mtu kishabadili dini kawa mkristo akienda kutoa uhuhuda kanisani anavaa kanzu et.
Ila Papa kwenda Saudi na kupata wafuasi hata sio story and no one is caring. Na hapa ndipo kunaifanya imani yenu kuwa na wafuasi wachache Tz licha ya kuwa wenyewe ndio ulianza kufika Germany East Africa.
Ambaye hana akili ni mshia anayetumia social media za makafiri!, gari za makafiri and everything from MAKAFIRI JF haina miaka 20Hawanaga akili Hawa watu,yaani kuhangaika kote kuanzisha uzi lengo Ni kiti Moto,na hizi nyuzi zinatokea a kila mwaka Leo mwaka wa 20 sasa
ooh,unaijua The Grid?Ambaye hana akili ni mshia anayetumia social media za makafiri!, gari za makafiri and everything from MAKAFIRI JF haina miaka 20
Nadhani tunaelewana
Leo hii wewe ukibadili dini na kuwa Mkristo ukifika Kanisani huwa kuna wakati wa matangazo watasema wageni wasimame na utapewa kipaza sauti useme umetoka Usharika/Parokia ama Jimbo gani, dhehebu gani au dini gani (si lazima uzungumze)