Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

Huu ni uwongo uliokomaa,Hivi kweli Kigoma mjini kuwe na Waislamu wote hao?!!!.Leta source ya takwimu zako,Kuhusu kuandaa jarida we andaa tu lkn ninachojua utaandika uongo,na kuhusu uongo Waislamu mmeruhusiwa ktk kitabu kiitwacho "Ukweli mwaminifu", juzuu ya nne
Huu utakuwa ni utafiti uliokidhi vigezo vyote vya utafiti. Kwahyo hapo nitakuwa nimewafunga mdomo waropokaji kama nyie.

UTAFITI UNAPINGWA KWA UTAFITI. Itakulazimu na wewe ufanye utafiti kama utaweza 😅😅😅😅 utafiti kwa maana ya utafiti na uweke wazi methodology zako
 
Huu utakuwa ni utafiti uliokidhi vigezo vyote vya utafiti. Kwahyo hapo nitakuwa nimewafunga mdomo waropokaji kama nyie.

UTAFITI UNAPINGWA KWA UTAFITI. Itakulazimu na wewe ufanye utafiti kama utaweza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] utafiti kwa maana ya utafiti na uweke wazi methodology zako
Karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenilazimu nipitie comment zote mpaka mwisho ili niijue dhamira ya dhati ya mwanzisha uzi.

Baada ya kuona ni hoja za kitoto na hata akipewa hoja za msingi anazipiga teke ilimladi anogeshe uzi 😅😅😅😅 nikaamua kutupa kuleeeeeee.

Ila kiukweli nimevuti saana na mdau hapo DeWitt J ambae ameongea kitakwimu saana...sisi waislamu tunasema MAASHALLAH umeongea vizuri.

Binafsi kuna siku nilikuwa napitia takwimu za wafuasi wa dini (kuna presentation nilikuwa naandaa) baada ya kupekenyua maeneo mbali mbali nikaona wwbsite flan hv ikinionesha waislam tanzania wapo asilimia 29.8%. Nikashtuka na kuamua kufatilia physically na kuwauliza baadhi ya watu wafuatiliaji wa mambo na wenye kupenda sana kudai usawi wa kifursa baina ya dini hizi mbili zinazokaribiana.

Wengi wao waliniambia kuwa waislamu tupo asilimia 65% nilipouliza hii data umeitoa wapi!!? Wengi hawakuweza kunijibu, ila sikukata tamaa nikaendelea kichimba mtandaoni nikagundua takwimu ambazo mashekhe wengi wanazitoa ni zile za sensa ya mwaka 1957.

Nikaona hapa kuna haja kuwaokoa na aibu masheikh wangu ili siku na siku wakiulizwa wawe na takwimu...nikafatilia mtaoni zaidi nikapata tawimu za aina tatu zinazo karibia 29.8% , 30% , 32-35%..nikasema wacha na mie niingie kwenye utafiti.

april 2018 nikaingia kwenye utafiti rasmi. Nikaanda sample zangu 9 mpaka sasa nishamaliza sample 6 kuzipitia mpaka sasa nmeibuka na matokeo kuwa waislamu tanzania tupo 29 - 32% labda sijajua hizo sample 3 zilizobaki zitanipa majibu gani.

Yaani kwa sasa nikiwaambiaga waislamu tupo asilimia hzo wananiona kama nimekengeuka. Na uzuri utafiti huu ipo kiwilaya na kimkoa..kwahyo ukisema mkoa fulani una waislamu asiliamia ngap nakuambia nikiwa na uhakika wa hali ya juu.

Mfano jamaa DeWitt J Amezungumzia kuhusu kigoma. Kigoma waislami wapo wilaya ya kigoma mjini pekee ambapo ni 56% pekee ila ukienda huko kasulu, kibondo, manyovu ni asilimia 13% , 9.2% , 6% mtawaliwa.

Na nitamdaa jarida na nitawapatia bakwata na taasisi zote kubwa za kiislamu na sababu za kushuka kwa kwa hizo asilimia kutoka 65% mpaka ~32%

Na kuhusu ukweli wa hiyo 65% ya mwaka 1957 nipo katika kufuatilia ila nimepata kuambuwa nawenzangu jamaa yangu (mkristo) kuwa nyuma ya hapo waislamu walikuwa 75% kulingana na takwimu za kanisa katoliki. Nitafatilia.
Ukienda Wikipedia utaona wameandika Tanzania Wakristo ni 65% na Waislamu ni 35% mimi na wewe hatuwezi kujua hizo data wametoa wapi.

Nilitoa mfano rahisi wa uwepo wa waumini wa KKKT na Katoliki wapatao million 20 kwa mwaka 2018 waliosemwa na Mbatia Bungeni, nami nilipata tabu kama wewe kajuaje?

Kumbe ni very easy hata huumizi kichwa unachukua idadi ya Waumini wa Kikatoliki na Kilutheri kila Jimbo unapata jibu.
 
Sure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uwongo uliokomaa,Hivi kweli Kigoma mjini kuwe na Waislamu wote hao?!!!.Leta source ya takwimu zako,Kuhusu kuandaa jarida we andaa tu lkn ninachojua utaandika uongo,na kuhusu uongo Waislamu mmeruhusiwa ktk kitabu kiitwacho "Ukweli mwaminifu", juzuu ya nne.
Wewe unaepinga ndo unatakiwa ulete ushahidi ili uniprov wrong
 
Ukienda Wikipedia utaona wameandika Tanzania Wakristo ni 65% na Waislamu ni 35% mimi na wewe hatuwezi kujua hizo data wametoa wap

Ohh kumbe wikipedia wanasema hvyo..ila mie utafiti wangu mpaka sasa unasema ni 29 - 32%...ila at that time 1957 mpaka around 90'S waislam walikuwa ni wengi zaidi ya asilimia 60%

Hapa ndo maana nasema lazima waislam watafute sababu kipi kimeshusha hizo asilimia zishuke mpaka kufikia huko

Na kiuhalisia waslamu ni ngum kubadili dini ila nadhani wakristo walivyoingia walijikita zaidi kuwalingania wapagani (wasio na dini) waingie kwenye ukristo ilihali waislam wakiwa wametulia na kuridhika na asilimia zao. Baada ya mda wakristo wakaongezeka na waislam wakabaki walewale finally percent ya wakirsto ikawa kubwa
 
Tatizo ni dogo tu, imani yenu kuna maeneo imejikita na kuota mizizi na hayo maeneo kuna mambo ya ajabu sana na maendeleo hakuna.

Kuna kijiji sitakitaja jina kipo mkoa wa Singida aisee ukifika Wakristo unahesabu, huwezi kupoteza hata siku moja kukaa pale ukifika muda wa sala maduka yanafungwa kunakuwa hakuna huduma kabisa hata Zanzibar ina afadhali.

Pia Ukristo vijijini umetambaa sana si nadra kukuta kijiji kina Msikiti mmoja au hakina kabisa na Makanisa yapo saba au kumi na yote yamejaza watu, vilevile mijini unaweza kupata Msikiti mikubwa tu ila ipo mitano au sita lakini Makanisa 20 yenye ujazo wa watu kuanzia mia tano na haya madogo madogo yenye watu 50-300.

Kama umewahi kufika Mtwara na wilaya zake utakuwa shuhuda Waislamuni wengi sana na wanaoleta uchangamfu wa kibiashara si wenyeji wa pale. Hata Tabora mjini na Lindi pia umwinyi na udini uliopindukia unadumaza sana maendeleo.
 
Hilo ulisemalo ni lakweli... lakini bado haliitii dosari hii imani..hilo ni suala la kimapokeo tu. Kumbuka uislam ulipoingia barani afrika haukuletwa na wajuzi wa dini bali wafanya biashara...

hii ikapelekea uislam uhusishwe na vitu kadhaa mfano utumwa. Ila kiuhalisia uislam upo mbali na vitu hvyo. Kuna baadhi ya tamaduni za kiarabu zimejikuta zinaeleweka kama misingi ya uislam wakati ni kinyume kabsa na uislam upo mbali n vitu hvyo.

Mfano kupiga ramli, kusoma nyota, hizo habari za kufuga majini CHAULA RICH yote hayo ni mambo ambayo yapo mbali na uislam na ni mambo ambayo yanadumaza uchumi ila kwa uhaba wa ufaham wengi waislam wamejkuta wakiyaamini km sehem ya imani (japo ukiwauliza marejeo ya kimaandiko hawana) na unakuta yamejkita zaidi kwenye maeneo ambayo uislamu ulianza kufika.

Kiufupi sisi waislam ambao tunauono wa kisomi na tumeousama uislam halisi bila kuchanganya uarabu i can say "WE HAVE MANY THING TO DO"
 
Hilo ulisemalo ni lakweli... lakini bado haliitii dosari hii imani..hilo ni suala la kimapokeo tu. Kumbuka uislam ulipoingia barani afrika haukuletwa na wajuzi wa dini bali wafanya biashara...hii ikapelekea uislam uhusishwe na vitu kadhaa mfano utumwa. Ila kiuhalisia uislam upo mbali na vitu hvyo. Kuna baadhi ya tamaduni za kiarabu zimejikuta zinaeleweka kama misingi ya uislam wakati ni kinyume kabsa na uislam upo mbali n vitu hvyo. Mfano kupiga ramli, kusoma nyota, hizo habari za kufuga majini CHAULA RICH yote hayo ni mambo ambayo yapo mbali na uislam na ni mambo ambayo yanadumaza uchumi ila kwa uhaba wa ufaham wengi waislam wamejkuta wakiyaamini km sehem ya imani (japo ukiwauliza marejeo ya kimaandiko hawana) na unakuta yamejkita zaidi kwenye maeneo ambayo uislamu ulianza kufika.
Kiufupi sisi waislam ambao tunauono wa kisomi na tumeousama uislam halisi bila kuchanganya uarabu i can say "WE HAVE MANY THING TO DO"
Hakuna anayetaka kuitia dosari imani yako, najua unafahamu kuwa Ukristo hautegemei kuikosoa, kuitukana wala kuifanya chochote imani nyingine yoyote ili wenyewe uendelee au uungwe mkono na wengi.

Uislamu unategemea na iko toka enzi za muasisi wake kwamba Ukristo na Uyahudi ufe ama upungue ili wenyewe ukue. Ndio maana leo hii kujengwa msikiti au kanisa kuwa msikiti ulaya ni breaking news kwenye Islamic world!

Ila Papa kwenda Saudi na kupata wafuasi hata sio story and no one is caring. Na hapa ndipo kunaifanya imani yenu kuwa na wafuasi wachache Tz licha ya kuwa wenyewe ndio ulianza kufika Germany East Africa.

Mimi leo hii nikisilimu ni big story nitatangazwa mtaa mzima na hata kwenye tv za kiislamu, na itanibidi kuanza kuzungumza mabaya dhidi ya Wakristo ili niwavute kama ilivyo desturi yenu.

Utakua shahidi katika makanisa ya kina Mwamposa, Suguye n.k wanapata waislamu wengi sana na wanabadili dini wao wenyewe bila hata kuambiwa wala kushawishiwa na hakuna anayezungumzia, kujisifia wala kuwatangaza kwenye media zao.
 
Mimi leo hii nikisilimu ni big story nitatangazwa mtaa mzima na hata kwenye tv za kiislamu, na itanibidi kuanza kuzungumza mabaya dhidi ya Wakristo ili niwavute kama ilivyo desturi yenu. Utakua shahidi katika makanisa ya kina Mwamposa, Suguye n.k wanapata waislamu wengi sana na wanabadili dini wao wenyewe bila hata kuambiwa wala kushawishiwa na hakuna anayezungumzia, kujisifia wala kuwatangaza kwenye media zao.

Mbona kama umeongea kinyume. Habari za ushuhuda zipo makanisani..sisi ni katazo kubwa mtu kunadi upotevu baada ya kuongoka. (Kuwa katika njia ya haki)

Tukiamua kumwaga mifano hapa mbona utabaki huna mfano kwa upande wetu. Ila kwenu nyie daaahh ajabu sasa mtu kishabadili dini kawa mkristo akienda kutoa uhuhuda kanisani anavaa kanzu et.
 
Uislamu unategemea na iko toka enzi za muasisi wake kwamba Ukristo na Uyahudi ufe ama upungue ili wenyewe ukue.

Hapa ungesoma vzuri mr. Unaweza hata kugoogle madina charter mkataba ambao mtu aliingia na viongozi wa kiyahudi na kikristo ili kila mmoja aendee na imani yake bila kuathiri imani nyingine. Na ukumbuke hapa uislam ulikuwa umetawala alkuwa anaweza kusema tu kuanzia leo marufuku uyahudi na ukiristo. Ila aliingia nao mkataba wa kuwalinda na kulinda imani yao.

Katika utawala wa khalifa wa pili umar (r.a) yeye alienda mbali. Alifuta kodi kwa wakristo na wayahudi wasio na nyenzo katika kuzalisha mali (wasio waislam kwenye utawala wa kiislam wanalipa kodi ambayo inaitwa jizya na waislam wao wanalipa zakkah na zakkah ni kubwa kuliko jizya) na badala yake alkuwa anawapa mahitaji kutoka katika hazina ya mali. Je hapa unasema kuwa uislam kuendelea kwake unategemea kudhoofisha imani nyongine!!!??

usichangane pale tunaposema dini sahihi mbele ya mwenye mwenyezi mungu ni uislam. Na dini kinyume na uislam sio dini sahihi ukasema et hapa tunatukana dini nyingine.

Ukisoma mfululizo wa kuhuisha uislam hukuti mahala uislam ulkuwa ukiingia mahali et unadhoofisha imani ya sehem husika. Ila watu wanavutiwa na uislam automatically imani nyingine inakosa nguvu na uislam unakuwa dominant
 
Hili ndio swali lako la msingi, kwengine umezunguka.
Hawanaga akili Hawa watu,yaani kuhangaika kote kuanzisha uzi lengo Ni kiti Moto,na hizi nyuzi zinatokea a kila mwaka Leo mwaka wa 20 sasa
 
Mbona kama umeongea kinyume. Habari za ushuhuda zipo makanisani..sisi ni katazo kubwa mtu kunadi upotevu baada ya kuongoka. (Kuwa katika njia ya haki)
Ni makosa? Pitia page moja ya Facebook inaitwa USA Muslims kisha uje utueleze hapa wanachokifanya si sahihi.

Na tena hiyo page imejaa waarabu na watu kutoka nchi zenye idadi kubwa ya waislamu hivyo ni wanaujua kwelikweli

Tukiamua kumwaga mifano hapa mbona utabaki huna mfano kwa upande wetu. Ila kwenu nyie daaahh ajabu sasa mtu kishabadili dini kawa mkristo akienda kutoa uhuhuda kanisani anavaa kanzu et.
Hiyo ya mtu kubadili dini na kwenda Kanisani amevaa kanzu wala Biblia haijakataza wala kuzungumzia lolote kuhusu mtu kutoka imani moja kwenda nyingine.

Na hilo lilikuwa likifanywa sana kwenye makanisa ya kilokole enzi zile mihadhara ya kidini imepamba moto.

Leo hii wewe ukibadili dini na kuwa Mkristo ukifika Kanisani huwa kuna wakati wa matangazo watasema wageni wasimame na utapewa kipaza sauti useme umetoka Usharika/Parokia ama Jimbo gani, dhehebu gani au dini gani (si lazima uzungumze)

Na baada ya kufuata taratibu zote hakuna atakayekwambia eti vaa kanzu njoo nayo jumapili ama usivae wewe binafsi unajua dressing code za Kanisa ni zipi, na hakuna atakayekwambia pita mbele ujinadi kuwa umetoka dini fulani na sasa u Mkristo never! Waliokuwa wakifanya hivyo makanisa yao unakuta yanaitwa Elishadai healing church au Gospel chapter!
 
Ila Papa kwenda Saudi na kupata wafuasi hata sio story and no one is caring. Na hapa ndipo kunaifanya imani yenu kuwa na wafuasi wachache Tz licha ya kuwa wenyewe ndio ulianza kufika Germany East Africa.

😅😅😅😅😅😅😅 mbona ziara ya papa saudia arabia ilitangazwa saana tu na almost alisifiwa sana kama mpenda aman..suala la watu kubadili dini hilo mimi sikulisikia na kama lilitokea ninyi ndo mlipaswa kulitangaza na tulifaham kama tulivyoifaham ziara yake.

Kuhusu waislam kuwa wachache (its a relative term) ila hilo halitusumbui kichwa saana..haki haidhihirishwi kwa wingi wa watu, haki itabaki kuwa haki hata kama dunia nzima wakiikana na batili itabaki kuwa batili hata kama dunia nzima wakiikubali kama haki.

Nimejaaribu kuelezea hapo juu sababu za nyie kuongezeka katika idadi..na sisi kubaki tulipo au kuongezeka kwa kiasi kidgo.
 
Hawanaga akili Hawa watu,yaani kuhangaika kote kuanzisha uzi lengo Ni kiti Moto,na hizi nyuzi zinatokea a kila mwaka Leo mwaka wa 20 sasa
Ambaye hana akili ni mshia anayetumia social media za makafiri!, gari za makafiri and everything from MAKAFIRI JF haina miaka 20
Nadhani tunaelewana
 
Ambaye hana akili ni mshia anayetumia social media za makafiri!, gari za makafiri and everything from MAKAFIRI JF haina miaka 20
Nadhani tunaelewana
ooh,unaijua The Grid?
Watu tupo mtandaoni tangu 2002 mkuu,
Hiyo Ni approx 20,,so jiulize,kula kwangu nguruwe ama kutokula kwanini kumshughulishe mtu?,kwanini mtu apoteze muda kuanzisha uzi kila mwaka kwa ishu Kama hiyo,
Reasoning yako pia ya kitoto,eti sijui kwanini mtu atumie intanet,gari za makafiri,,kwani kafiri ndo Nini?na inahusianaje na kutumia social media au gari?
 
Leo hii wewe ukibadili dini na kuwa Mkristo ukifika Kanisani huwa kuna wakati wa matangazo watasema wageni wasimame na utapewa kipaza sauti useme umetoka Usharika/Parokia ama Jimbo gani, dhehebu gani au dini gani (si lazima uzungumze)

Sijaipitia hiyo page USA nini sijui..ili hichi ndo kinafanyika hata kwa waislam..kutupa habari tu kuwa hapa tuna mgeni.

Nilpokuwa shule advance nilisilimisha watu kama wa5 hivi na katika ikifika kipindi cha dini its just kusalmia na kujitambisha na kusema alkuwa dhehebu gani na sasa hivi anaitwa nani (kama alibadili jini)

Kadhalika nilipokuwa chuo kikuu pia nilisimisha wapatao wa3 mwendo ulkuwa ni huo huo just kujitambulisha na mahali tu.

Kwa ujumla ndugu yangu DeWitt J hiyo ya mtu akisilimu aanze kuzungumza namna alivyokuwa kwenye ukristo haipo kabsa kwenye uilsam na hata ukiangalia haina logic yeyote kufanya hivyoo.

Mwisho kabsa sio kwamba mtu akiwa warabu ndo mjuaji sana wa dini ya uislam, uislam ni dini ya kiulimwengu na ubora wa uchamungu wa mtu hautegemei geographical location. Kuna warabu washenzi teena washenzi na waweza kuta anaishi katika mji aliozaliwa mtume. Mtu kuwa warabu sio tiketi ya ubora katika hii dini.
 
Back
Top Bottom