GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
sio kweli mkuu hizo ni hisia tu tulizojiwekea wa tz mbona huku nilipo ni barafu kabisa lakini kende zipo normal tu
Dar now mvua inanyesha, aisee nimezicheki zangu zimekakamaa pia, I dont even know why..Mkuu Wewe za kwako hazijakakamaa na hazikupi ushirikiano?
Mkuu hapo ni kwa sababu ya temperature difference kati ya core temp na surrounding tempKichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.
Nawasilisha.
Mkuu hapo ni kwa sababu ya temperature difference kati ya core temp na surrounding temp
Siku zote mapumbu yanatakiwa yawe katk temp less than that of core temp
Umejibu vizur mkuu temperature ya pumbu ni 4°c ambayo ni tofauti na ya mwili 37°c huwa hazifanani ila temperature ya pumbu muda mwingine hususani wkt wa baridi hutegemea ya mwili na kusababisha pumbu kusinyaa na kurudi ndani kutegemea temperature ya mwili maana cha baridi temperature ya pumbu nayo hupungua kutoka 4°c na kushukaMkuu hapo ni kwa sababu ya temperature difference kati ya core temp na surrounding temp
Siku zote mapumbu yanatakiwa yawe katk temp less than that of core temp
Dar now mvua inanyesha, aisee nimezicheki zangu zimekakamaa pia, I dont even know why..
mbe!
mkuu nilisoma PCB kwa hiyo nakumbuka vitu kidogo kwa mbaliMkuu akhsante kwa kushiriki ila nisikufiche lugha uliyoitumia ni ngumu kuielewa hivyo irahisishe ili tukupate zaidi kwani unaonekana Wewe ni ' mhanga ' mzuri wa ' kukakamaliwa ' na ' mapumbu ' yako na kupata ' ushirikiano ' wake.
Pamoja sanaKumbe na Wewe una ' mapumbu ' Mkuu? Nilidhani Wewe una ' Kokwa ' tu. Nimefurahi kujua kuwa kumbe na Wewe ni Mwana Makende mwenzangu.
mkuu nilisoma PCB kwa hiyo nakumbuka vitu kidogo kwa mbali
Core temp ni temp iliyopo ndani ya mwili na surrounding temp ni temp ya nje ya mwili
Makende yanabidi yawe ktk temp ambayo ni ndogo kidogo kuliko ile temp ya ndani ya mwili
Temp ikiwa kubwa makende yanashuka chini ili iepuke kuharibika na iende kweny set point yake
Temp ikiwa ndogo makende yanaenda juu na kushikana ili yapate joto na yafike kwny set point yake
Hapana mimi ni mpare lakini ninaishi na watu wa MaraUmenikumbusha nyumbani kabisa ' uzanakini ' kwa kuandika hicho Kizanaki cha neno la kushangaa la ' mbe ' Mkuu. Safi sana au na Wewe ni Mzanaki mwenzangu Mkuu?
Hapana mimi ni mpare lakini ninaishi na watu wa Mara
Dah reproduction ya form three hukuelewa mkuu, basi ulikuwa kila. Za sana inaonekanaKichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.
Nawasilisha.
smahani mkuunaomba link ya kakclip nikaonemkuu nilisoma PCB kwa hiyo nakumbuka vitu kidogo kwa mbali
Core temp ni temp iliyopo ndani ya mwili na surrounding temp ni temp ya nje ya mwili
Makende yanabidi yawe ktk temp ambayo ni ndogo kidogo kuliko ile temp ya ndani ya mwili
Temp ikiwa kubwa makende yanashuka chini ili iepuke kuharibika na iende kweny set point yake
Temp ikiwa ndogo makende yanaenda juu na kushikana ili yapate joto na yafike kwny set point yake
Unataka kuona pumbu zangu ,haina shida njoo inbox nikuoneshesmahani mkuunaomba link ya kakclip nikaone
hapana siyo zako za kuonyesha mfanoUnataka kuona pumbu zangu ,haina shida njoo inbox nikuoneshe