Kwanini wakati wa mvua Makende ya Wanaume wengi hukakamaa na kuleta ushirikiano?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.

Nawasilisha.
 
sio kweli mkuu hizo ni hisia tu tulizojiwekea wa tz mbona huku nilipo ni barafu kabisa lakini kende zipo normal tu
 
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.

Nawasilisha.
Mkuu hapo ni kwa sababu ya temperature difference kati ya core temp na surrounding temp

Siku zote mapumbu yanatakiwa yawe katk temp less than that of core temp
 
Mkuu akhsante kwa kushiriki ila nisikufiche lugha uliyoitumia ni ngumu kuielewa hivyo irahisishe ili tukupate zaidi kwani unaonekana Wewe ni ' mhanga ' mzuri wa ' kukakamaliwa ' na ' mapumbu ' yako na kupata ' ushirikiano ' wake.
 
Umejibu vizur mkuu temperature ya pumbu ni 4°c ambayo ni tofauti na ya mwili 37°c huwa hazifanani ila temperature ya pumbu muda mwingine hususani wkt wa baridi hutegemea ya mwili na kusababisha pumbu kusinyaa na kurudi ndani kutegemea temperature ya mwili maana cha baridi temperature ya pumbu nayo hupungua kutoka 4°c na kushuka
 
Dar now mvua inanyesha, aisee nimezicheki zangu zimekakamaa pia, I dont even know why..

Kumbe na Wewe una ' mapumbu ' Mkuu? Nilidhani Wewe una ' Kokwa ' tu. Nimefurahi kujua kuwa kumbe na Wewe ni Mwana Makende mwenzangu.
 
Mkuu akhsante kwa kushiriki ila nisikufiche lugha uliyoitumia ni ngumu kuielewa hivyo irahisishe ili tukupate zaidi kwani unaonekana Wewe ni ' mhanga ' mzuri wa ' kukakamaliwa ' na ' mapumbu ' yako na kupata ' ushirikiano ' wake.
mkuu nilisoma PCB kwa hiyo nakumbuka vitu kidogo kwa mbali

Core temp ni temp iliyopo ndani ya mwili na surrounding temp ni temp ya nje ya mwili

Makende yanabidi yawe ktk temp ambayo ni ndogo kidogo kuliko ile temp ya ndani ya mwili

Temp ikiwa kubwa makende yanashuka chini ili iepuke kuharibika na iende kweny set point yake

Temp ikiwa ndogo makende yanaenda juu na kushikana ili yapate joto na yafike kwny set point yake
 
Shikamoo!
 
Hapana mimi ni mpare lakini ninaishi na watu wa Mara

Safi sana Mkuu na nimefurahi kusikia kuwa unaishi na Watu wa Mara na najua upo salama na unafarijika kuwa nao karibu kwani Tanzania nzima hakuna Watu wazuri, wakarimu na marafiki wema kama wa Mkoa wa Mara. Nimefurahi pia kujua kuwa kumbe Wewe ni Mpare kwani nilishawahi kuwa ' Shemeji ' yako kwa Mpare mmoja hivi ila kilichotutokea hadi ' tukaparaganyika ' si Shetani au Mungu anayejua. Dada zako wa Kipare ni wazuri na watamu sana Mkuu tafadhali nifikishie kwao hizi salamu zangu za dhati kabisa.
 
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.

Nawasilisha.
Dah reproduction ya form three hukuelewa mkuu, basi ulikuwa kila. Za sana inaonekana
 
mkuu nilisoma PCB kwa hiyo nakumbuka vitu kidogo kwa mbali

Core temp ni temp iliyopo ndani ya mwili na surrounding temp ni temp ya nje ya mwili

Makende yanabidi yawe ktk temp ambayo ni ndogo kidogo kuliko ile temp ya ndani ya mwili

Temp ikiwa kubwa makende yanashuka chini ili iepuke kuharibika na iende kweny set point yake

Temp ikiwa ndogo makende yanaenda juu na kushikana ili yapate joto na yafike kwny set point yake
smahani mkuunaomba link ya kakclip nikaone
 
Back
Top Bottom