miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
haya nasogeaSasa na mvua hii hapo kona si kuna maji maji hapo? sogea pale "nikukute pub" anza na redds
[emoji17] [emoji21] [emoji29] [emoji29]Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.
Nawasilisha.
TunakulagaDuh!
Unaijua mpaka harufu ya mishikaki ya nyau,unakulaga nini?
Silagi.Tunakulaga
Vp wewe!?
Unakosa VitamSilagi.
Mbona vitamin ya nyau kwenye vitabu vya sayansi haipo.Unakosa Vitam
Jaribu sasa ndugu
Sio Tango Pori mkuu sisi Tunakulaga sana Nyau,Ngedere, Kenge, Kunguru, Bundi ,Na hata digidigiMbona vitamin ya nyau kwenye vitabu vya sayansi haipo.
Usinilishe matango pori mkuu.
Aisee.Sio Tango Pori mkuu sisi Tunakulaga sana Nyau,Ngedere, Kenge, Kunguru, Bundi ,Na hata digidigi
Hapa saa hiz tunabanika Ndezi karibu.
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.
Nawasilisha.
Inaonesha Hiyo topic uliiva(ulielewa) sana mkuumkuu nilisoma PCB kwa hiyo nakumbuka vitu kidogo kwa mbali
Core temp ni temp iliyopo ndani ya mwili na surrounding temp ni temp ya nje ya mwili
Makende yanabidi yawe ktk temp ambayo ni ndogo kidogo kuliko ile temp ya ndani ya mwili
Temp ikiwa kubwa makende yanashuka chini ili iepuke kuharibika na iende kweny set point yake
Temp ikiwa ndogo makende yanaenda juu na kushikana ili yapate joto na yafike kwny set point yake
Sio hiyo tu mkuu mi nimeiva topics zoteInaonesha Hiyo topic uliiva(ulielewa) sana mkuu
Picha mkuuKichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.
Nawasilisha.
sijaona mapumbu siku nyingi nirushieni picha wadau nipate cha kuchangiaUnataka kuona pumbu zangu ,haina shida njoo inbox nikuoneshe
Njoo inbox nikutumiesijaona mapumbu siku nyingi nirushieni picha wadau nipate cha kuchangia