Kwanini wakati wa mvua Makende ya Wanaume wengi hukakamaa na kuleta ushirikiano?

Kwanini wakati wa mvua Makende ya Wanaume wengi hukakamaa na kuleta ushirikiano?

Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.

Nawasilisha.
[emoji17] [emoji21] [emoji29] [emoji29]
Napita tu wakuu........
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mbona vitamin ya nyau kwenye vitabu vya sayansi haipo.
Usinilishe matango pori mkuu.
Sio Tango Pori mkuu sisi Tunakulaga sana Nyau,Ngedere, Kenge, Kunguru, Bundi ,Na hata digidigi
Hapa saa hiz tunabanika Ndezi karibu.
 
Kichwa cha habari kimeshajitosheleza hivyo karibu tu ' utiririke '. Hapo katika neno ' makende ' namaanisha ' mapumbu ' kwa wale ambao ni wageni wa Kiswahili sanifu.

Nawasilisha.

[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Kuna wengine kende zetu zinaning'inia levo za magoti always (wala hazitambui hayo mambo ya external wala internal body temperature).
 
mkuu nilisoma PCB kwa hiyo nakumbuka vitu kidogo kwa mbali

Core temp ni temp iliyopo ndani ya mwili na surrounding temp ni temp ya nje ya mwili

Makende yanabidi yawe ktk temp ambayo ni ndogo kidogo kuliko ile temp ya ndani ya mwili

Temp ikiwa kubwa makende yanashuka chini ili iepuke kuharibika na iende kweny set point yake

Temp ikiwa ndogo makende yanaenda juu na kushikana ili yapate joto na yafike kwny set point yake
Inaonesha Hiyo topic uliiva(ulielewa) sana mkuu
 
Naombeni na jibu kama makende au pumbu zinawasha na kuna mda ukizikuna zinatoa kama tuvidonda ivi tatizo nini maana hospitali chenga tu na zinasinyaa ushauri [emoji120] [emoji120] [emoji120] apa wadau
 
Back
Top Bottom