Kwanini wakatoliki na Walutheri wamekuwa na Ushirikiano Mzuri? Kuna nini hasa?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Wasalaam Ndugu wanaJF

Mwaka 1517 Padre machachari wa kanisa katoliki Martin Luther aliamua kujitenga rasmi na kanisa Katoliki, Claim ya Luther ilikuwa kanisa kwenda kinyume na maandiko, pia kanisa kujihusisha na mauzo ya rehema!

Kwa Mujibu huo Luther aliwekwa katika kikundi cha watu wanaoitwa Heretics yaani wanaopotosha na kupinga mafundisho ya Kanisa.. kwa kitendo hicho akatengwa na kanisa yaani "Excomunicated"

Luther alikuja kuanzisha kitu kinaitwa "Uprotestanti" yaani kupinga mafundisho ya kanisa katoliki.. kitu kilichozaa kanisa la Kilutheri!,

Muktadha wa mada yangu ni ushirikiano thabiti uliopo sasa baina ya kanisa katoliki na Lutheran, Je imekuwaje wanashirikiana tena kwa upendo kiasi hiki? Wakatoliki hawawachukulii Lutherans kama Heretics tena?

Mfano leo nilikuwa kwenye Misa ya Pamoja pale Parokia ya chuo kikuu DSM, Monsignori Mbiku na Mchungaji wa KKKT waliendesha ibada kwa Pamoja, na pia hiyo nyumba ya ibada wanaitumia wote na wameandaa litrujia ya pamoja..

Ukiachana na hilo wakatoliki hawambatizi upya Mlutheri, wanachofanya ni kubariki tu ubatizo wake ila wasabato na wengine baadhi wakihamia Katoliki lazima wabatizwe upya..

Je nini chanzo cha kurudi kwa ushirikiano baina ya haya makanisa Mawili?

Divine!
 
Ni mfano wa kuigwa. Hivi Gwajima, Lusekelo, Bilionea, Mwingira, Kakobe n.k hawawezi kushirikiana?
 
Hapa nasubiri kujifunza. Sijifanyi kama wale watu wa majukwaa ya siasa kwamba wao kila kitu wanajua
 
Mkuu naona unatuletea mambo ya chuon kwenu, sisi hayatuhusu kabisa.

Mluther ni mlutheri
Na mkatolik ni mkatolik

Tonatofautiana kiibada tu siku zote .

Hayo ya kushirikiana ibadan unayajua wew na chuon kwako

Wasalaam Ndugu wanaJF

Mwaka 1517 Padre machachari wa kanisa katoliki Martin Luther aliamua kujitenga rasmi na kanisa Katoliki, Claim ya Luther ilikuwa kanisa kwenda kinyume na maandiko, pia kanisa kujihusisha na mauzo ya rehema!

Kwa Mujibu huo Luther aliwekwa katika kikundi cha watu wanaoitwa Heretics yaani wanaopotosha na kupinga mafundisho ya Kanisa.. kwa kitendo hicho akatengwa na kanisa yaani "Excomunicated"

Luther alikuja kuanzisha kitu kinaitwa "Uprotestanti" yaani kupinga mafundisho ya kanisa katoliki.. kitu kilichozaa kanisa la Kilutheri!,

Muktadha wa mada yangu ni ushirikiano thabiti uliopo sasa baina ya kanisa katoliki na Lutheran, Je imekuwaje wanashirikiana tena kwa upendo kiasi hiki? Wakatoliki hawawachukulii Lutherans kama Heretics tena?

Mfano leo nilikuwa kwenye Misa ya Pamoja pale Parokia ya chuo kikuu DSM, Monsignori Mbiku na Mchungaji wa KKKT waliendesha ibada kwa Pamoja, na pia hiyo nyumba ya ibada wanaitumia wote na wameandaa litrujia ya pamoja..

Ukiachana na hilo wakatoliki hawambatizi upya Mlutheri, wanachofanya ni kubariki tu ubatizo wake ila wasabato na wengine baadhi wakihamia Katoliki lazima wabatizwe upya..

Je nini chanzo cha kurudi kwa ushirikiano baina ya haya makanisa Mawili?

Divine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona unatuletea mambo ya chuon kwenu, sisi hayatuhusu kabisa.

Mluther ni mlutheri
Na mkatolik ni mkatolik

Tonatofautiana kiibada tu siku zote .

Hayo ya kushirikiana ibadan unayajua wew na chuon kwako
Ilogical, dont take it Personal
 
Nikuulize kitu, sisi tunajua iyo litrulugia walio tengeneza imefata maandiko au laa.???

So hicho kitu wanakitambua wao tu.

Mwisho wa siku sio mbaya kwan wote ni wanafunz tu.
Ila kila mmoja atarud thehebu lake.
Ilogical, dont take it Personal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ushirikiano wowote wa kidini hapo.
Hayo yao hatuyatambui.

Hata mm huku nikiungana na muislamu familia yangu na yake
Tuka sari pamoja... Utasema tena kekua na ushirikiano mzur na waislamu katika maswala ya dini???
Hujajibu kwa Muktadha wa swali..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ushirikiano wowote wa kidini hapo.
Hayo yao hatuyatambui.

Hata mm huku nikiungana na muislamu familia yangu na yake
Tuka sari pamoja... Utasema tena kekua na ushirikiano mzur na waislamu katika maswala ya dini???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaweza Kushare Msikiti na wakristu?
 
Hapana, Fuatilia bond strong iliyopo kati ya letherans na catholics kwa sasa..
Unajitesa tu bure na umeshamjua mtu unayebishana naye kupitia mfano wake wa muislam na mkristo.
Lutherans na Catholics hata baadhi ya sehemu za litrujia zinafanana na kuendana. Na ndio maana ubatizo wao pia huendana

Nitaweza kulinganisha catholics, lutherans na Anglicans. Hawa ibada zao hazina tofauti Sana hivyo wanaweza kusali pamoja maana wote nimekuwa nikihudhuria ibada zao. Hata huko kwingine kwa manabii sijui nimekwenda but tofauti ni kubwa mno wao wanaenda na tune ya matatizo na matarajio ya waumini wao sio maandiko. Yaani kabla ya ibada hawajui hata neno linalokwenda kuhubiriwa ni lipi. While kwa Hawa watatu wanakwenda kwa nyakati za kimaandiko

Asante sana Ndugu, Nimekupata Mubashara!
 
Back
Top Bottom