Kwanini wakazi wa maeneo haya hutumia vitambaa kusafisha pua zao zinapowasha wakati wengineo hutumia mikono mitupu?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Naandika na kuuliza haya siyo nakashfu ila ndiyo ukweli unaonishangaza sana

Ni nadra sana kuona mtu mzima au mtoto maeneo ya Masaki, Oysterbay au Mikocheni akiingiza vidole puani ili kuondoa uchafu au muwasho bila ya kutumia kitambaa ' handkerchief'

Yaani kwanini wakazi wa maeneo hayo wengi hutumia vitambaa kusafisha pua zinapowasha au pale wanapopenga kamasi? Mila na desturi? Mazoea?! Makuzi!? Kiwango cha Elimu!?

Sitotaja hali ikoje maeneo mengineyo naepusha kuleta tafsiri mbaya japo huo ndiyo ukweli

Niwatakie usiku mwema wenye baraka tele
 
Ni moja ya makuzi kutokana na mazingira yanayo mzunguka muhusika.🙏
 
Mambo mengie muda machache...
Wawe na vitambaa watavifua saa ngapi...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…