maisha ya uswahilini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ya uswahilini yanataka moyo na yanafomula yake hivihivi tu huyawezi kabisa

    Maisha ya uswahilini ukiwa mgeni huwezi kuelewa wanaishi au wanatania. Umekaa zako tu vizuri chumbani kwako unasikia inje dirishani kwako minong'ono ya watu wakitongozana laivu Hujakaa vizuri unaona wapita njia wanapita barazani kwenu hawana hata habari wanakatiza tu popote njia Unabandika...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hali inatisha, Uswahilini Dar es salaam watu wamepigika na maisha mpaka basi. Nyuso zimekosa nuru

    Kama kawaida nikatia chimbo Uswahilini nyuma ya JNIA almaarufu airport. Aisee watu wamechakaa hatari. Vijana kama wazee, wamama na wadada wamekaa vibarazani asubuhi tu ukipita macho yao yote kwako. Sura zao zinaonyesha hawapati milo 3 kwa siku. Serikali iangalie, mtu mwenye njaa hawezi kumzaa...
  3. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

    Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke (mtoni kwa Aziz Ally) nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa inawauma) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakazi wa maeneo haya hutumia vitambaa kusafisha pua zao zinapowasha wakati wengineo hutumia mikono mitupu?

    Wadau hamjamboni nyote? Naandika na kuuliza haya siyo nakashfu ila ndiyo ukweli unaonishangaza sana Ni nadra sana kuona mtu mzima au mtoto maeneo ya Masaki, Oysterbay au Mikocheni akiingiza vidole puani ili kuondoa uchafu au muwasho bila ya kutumia kitambaa ' handkerchief' Yaani kwanini...
Back
Top Bottom