Lifondre
Member
- Apr 22, 2018
- 26
- 21
Nawaza sana na natamani kufahamu kwanini wake za watu wanacheate??tena ukizingatia unakuta mwanaume wake anapambana kwa ajili ya mkewe ili ampatie anachokitaka ila kuuutwa kutembea na watoto wadogo,experiencing disaster[emoji17][emoji17][emoji17] ndio maana nikifikiria kuoa nachoka