Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,555
- 3,208
Upande mwingine akili zao kama watoto wanaoshindwa kujisimamia, wengine akili zao kama wendawazimu na wakati mwingine wapo fresh, hawajui nini wanataka bali wao hufata upepo kama bendera nk.Kwann
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upande mwingine akili zao kama watoto wanaoshindwa kujisimamia, wengine akili zao kama wendawazimu na wakati mwingine wapo fresh, hawajui nini wanataka bali wao hufata upepo kama bendera nk.Kwann
Nashindwa kuwaelewa kabisa yan unakuta eti kisa tu mumewe anamkasirikia basi kosa oooh ana mambo ya kizamani[emoji33]Upande mwingine akili zao kama watoto wanaoshindwa kujisimamia, wengine akili zao kama wendawazimu na wakati mwingine wapo fresh, hawajui nini wanataka bali wao hufata upepo kama bendera nk.
Hata mada yako inazungumzia wamama walioko kwenye ndoa, kwakuwa wameolewa na wanaume wasio wapenda ndio maana wana cheat kutokana na hitaji la moyo wao halipo kwa waume zao , bali pengine wapo tu ilimradi ndoa basi lakini kihakisia upendo wa ndoa haupoKwanini inatokea hivo je utamuoa vipi mtu usiempenda?kwa wanawake inawezekana ila kwetu sis sidhani kama ipo hivo
Hivyo vipo haswa upande wakina Dada,anaolewa kwa kua anaona umri unaenda,kwa ajili ya Pesa,n.kKwanini inatokea hivo je utamuoa vipi mtu usiempenda?kwa wanawake inawezekana ila kwetu sis sidhani kama ipo hivo
Haha Hahahahaäa haaHahahahaha lol! Hakuna kuangalia Mkuu ni kuelekeza dushe tu mkimalizana unafunika unashika 50 zako.
HhhhhhhSasa mkuu wa ni kijana mdogo au mkeo kampenda kijana mtaani?
Damu moto wachakarikaji, siyo wengine mkishazoeana hata zile baby baby zinakwisha, kudekezwa ndio hakupo tn unadhani nn kifuatacho hapo ss.. Ni kupata kitoto chako kitachokufanyia vitu roho inapenda. Hahaaa