Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Huyu binti ni mrembo asikwambie mtu.Nipe Namba za huyu mke wa mtu nimkanye kuwa tabia hii sio nzuri.
Hahahahahhaha we msenge sana unajua π π π π π π nimecheka hio id yako eti βMbususu EnthusiastβMarried p**sy are sweet and the best.
Mungu zidi tu kuendelea kutujalia nguvu za kiume.
Hili nakubali, matatizo yote huanzia hapa kwenye mazoea! Ukiishi na mwanamke kwa zaidi ya mwaka maisha yenu yanakuwa kama routine yani!Tatizo la wanawake kutoka nje ya ndoa ni kutokana na utamu alokuwa akipewa na wanaume walotembea nae kabla ya kuolewa, kwa mumewe hapati hasa wa kingono.
Pia kingine ni ile hali ya kuzoeana sana. Kutokana na kuishi kwa pamoja sana, mtu ni yuleyule, kucheka ni kulekule, kuongea kulekule, kununa kulekule, kitombo kilekile, wanachokana.
Kwa hali hii mwanamke akiona mwanaume mwingine atampendea kitu kidogo tuu, na jamaa akijiongeza lazma atakula mzigo tuu. Hatimae mwanamke anatoka nje ya ndoa.
Alkazalika na kwa upande wa wanaume ni hivohivo. Ndo maana tunapoelekea ndoa inabidi ziwe za mkataba kama ulaya. Mnawekeana mkataba hata wa kila baada ya miaka miwili,
Mkataba ukiisha kama hamjachokana mnaongeza tena, kama mtakuwa mmechokana baada ya hiyo miaka miwili mkataba ukiisha mnaachana, then kila mtu atafute kifaa kimpya mke na mume mpya na mkataba uendelee.
Dunia ya utandawazi ya sasa wanawake sio tena wale wa zamani. Wanawake wa kileo hata ukioa usijisifu sana, muda wowote anaenda kupasuliwa marinda nje ya ndoa.
Hahahahah ila wengi husingizia tatizo ni mume sijui hamkazi vizuri ila ishu ni mazoea ya kipuuzi tu ambayo yamepelekea mume kuamua kuacha kumsumbua kuhusu unyumba maana inakera kuanza kumtongoza mkeo upya kila ukitaka kumbandua na hapo bado atakuletea upuuzi wa kukupa K kwa masharti!Wake za watu hawaridhiki.
mi ninae huyu
kaahidi kunizalia kabisaa daadek
ananipenda hasa mmeru
View attachment 1954080View attachment 1954080
Una kipengele kizito sana mzee na kwa kukusihi tu usije ukaanza tabia ya kumpekua mwanamke wako simu! Utaacha Yutong 3 kabla hujafikia miaka 60Mi sina wivu ila kugongewa mwanamke hiyo ni dharau iliyovuka mipaka na kosa siyo la mwanaume anaemgonga kosa ni la huyo mwanamke maana kama anakuheshimu hawezi kukuvua utu wako na aende kugongwa na msela mwngne hiyo ni dharau iliyovuka mipaka suala hilo hata aje anisuluhishe mama yangu mzazi sitakua tayari kulisamehe nitaachana na huyo mwanamke.
Nilichogundua tu ni kwamba tamaa za mwili haziishagi.Hahahahah ila wengi husingizia tatizo ni mume sijui hamkazi vizuri ila ishu ni mazoea ya kipuuzi tu ambayo yamepelekea mume kuamua kuacha kumsumbua kuhusu unyumba maana inakera kuanza kumtongoza mkeo upya kila ukitaka kumbandua na hapo bado atakuletea upuuzi wa kukupa K kwa masharti!
Kupendwa kupo na kingine mi naona mwanamke anayekupenda binafsi atakupa amani kuliko mwanamke ambaye utatumia nguvu kuwa nae!Nilichogundua tu ni kwamba tamaa za mwili haziishagi.
Tamaa za vitu vipya haziishi.
Mimi sijawahi kumpa hata mia huyu mmachame lakini ananipenda hasa.
vizuri umeeleweka sana boss lakini kitu kimoja nachokiona hapo ni issue anbazo tunaweza kuzipa ufumbuzi.Tatizo la wanawake kutoka nje ya ndoa ni kutokana na utamu alokuwa akipewa na wanaume walotembea nae kabla ya kuolewa, kwa mumewe hapati hasa wa kingono.
Pia kingine ni ile hali ya kuzoeana sana. Kutokana na kuishi kwa pamoja sana, mtu ni yuleyule, kucheka ni kulekule, kuongea kulekule, kununa kulekule, kitombo kilekile, wanachokana.
Kwa hali hii mwanamke akiona mwanaume mwingine atampendea kitu kidogo tuu, na jamaa akijiongeza lazma atakula mzigo tuu. Hatimae mwanamke anatoka nje ya ndoa.
Alkazalika na kwa upande wa wanaume ni hivohivo. Ndo maana tunapoelekea ndoa inabidi ziwe za mkataba kama ulaya. Mnawekeana mkataba hata wa kila baada ya miaka miwili,
Mkataba ukiisha kama hamjachokana mnaongeza tena, kama mtakuwa mmechokana baada ya hiyo miaka miwili mkataba ukiisha mnaachana, then kila mtu atafute kifaa kimpya mke na mume mpya na mkataba uendelee.
Dunia ya utandawazi ya sasa wanawake sio tena wale wa zamani. Wanawake wa kileo hata ukioa usijisifu sana, muda wowote anaenda kupasuliwa marinda nje ya ndoa.
We endelea tu kuwala,wako nae ataliwa tu.Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona kabisa kamchoka mume wake kwa kila kitu hata kama ana mawe (pesa) mingi, vijana wapendeni wake zenu vinginevyo mtachapiwa sana wake zenu.
Dah inahitaji moyo sana mkuu ..hii kazi ya chips hasa kwa wanafunzi usipokaza hivi vident chuchu kama vifuu vya nazi unaeza hata kufilisika.Ukishaoa,unajua busy na life,malovee huwezi yaendekeza Sana.
Na ulitaka kufeli maisha,wekeza akili zako kwenye mapenzi,sir wengine tunaiza chips huku vyuoni,Kama tungekua tunaendekeza mapenzi Basi tungefilisika,maana girls kibao,wanakuzunguka anytime,full kujibebisha,naona kamanda ungefanya kazi Kama yangu,sijui ingekuaje
Ukioa uwe na akili utagundua Tu nililosemaHamna mkuu kuna issue zingine ndogo sana waume za watu wanazembea sana
Mkuu hao wanawake ni watu wa kubadilika badilika wengi wao hawaeleweki nn wanataka. Sio rahisi kumpa kila anachokihitaji ni kufanya kilicho ndani ya uwezo wako tu,Kuna vitu unasahau sijasema kumchunga nimesema ndoa inakosa mvuto kwa walengwa wanaume wanasahau wake zao wanaanza kutaka furaha nje ya waume zao
Ila kuna mmoja hapa jiraRoho wa ngono kwa kizazi hiki ametawala sana, ni nadra sana kwa mazingira ya dunia hii kumshinda huyo roho wa ngono!
Niambie mkaldayoHahahahahhaha we msenge sana unajua π π π π π π nimecheka hio id yako eti βMbususu Enthusiastβ
Noma kweli yaniIla kuna mmoja hapa jira
Niambie mkaldayo
vizuri umeeleweka sana boss lakini kitu kimoja nachokiona hapo ni issue anbazo tunaweza kuzipa ufumbuzi.
1. kwa hoja yako ya msingi tunaweza kuitatua kama vijana wataoa mabinti bikra jambo ambalo kiukweli ndio swala la msingi kabisa katika uchepukaji .unakuta mwanaume anaoa mwanamke kishaonja rungu la mzaramo , keshaonja la mchaga keshaonja la msukuma nk nk. kwa mke kama huyu mume ukiteleza kidogo tu kwenye tendo huna chako.mabinti mabikra wapoo tena wapo sana tatizo vijana tunakimbilia hawa wadada wa mjini wavaa mawig tunaona ndio wanawake wanaofaa kuwa wake.
2.Kwenye swala la kuchokana, hapa kwanza kabisa vijana wanaoa kwa mazoea au mashinikizo fulani na sio kwa kupenda .kama kweli unampenda mtu kumchoka huwa ni ngumu sana, pamoja na hayo ni vyema kujenga tabia ya kujaribu kuwa mpya kwa mwenza wako kila wakati yani usiwe mtu wa kutabiria kirahisi,ukifanya hivi ni ngumu sana kuchokana.
3. kuna hizi semina za maswala ya ndoa pia ni muhimu vijana kuhunduria maana zina afya sana kwenye ndoa zetu hasa katika hatua za awali za ndoa. ndoa ni jambo pana sana linahitaji maarifa na hekma ya juu sana .kwa elimu inayopatikana kwenye hizi semina ni nzuri mno hasa katika hatua za mwanzo za ndoa.
4 Wanaume tunachepuka mnoo ,halafu kibaya tumehalalisha kuchepuka kwetu na kuharamisha kwa mwanamke. kitu ambacho kwa mwanamke akishagundua kuwa unachepuka wengi hupoteza kabisa upendo na mwisho wa sku naye huamua kumpa jamaa alokuwa anammendea.
hitimisho : oa bikra mwenye hofu ya mungu, mpende ,kuwa rafiki yake, usichepuke ,nendeni mpate elimu ya ndoa popote mtaposikia inatolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app